Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,439
- 1,962
Ni mwanafunzi. Halafu wewe tatizo lako tu ni kesi. Je mtoto atakayezaliwa acha ujingaMtu mzima huyo hakuna kesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwanafunzi. Halafu wewe tatizo lako tu ni kesi. Je mtoto atakayezaliwa acha ujingaMtu mzima huyo hakuna kesi
Hawa mabinti wanapenda sana shobo kwa wasanii sasa wanapata ujauzito wanaanza kulialia kwenye media atulie tu kwao wazazi wake wamuhudumie ajifungue ajitunziye huyo mtoto wake!
Siku hizi hakuna mtu anayeweza kukataa mimba kama mwaka 1970, wakina dada na wazazi jaribuni kujua sheria za haya mambo. Msikubali kubeba majukumu peke yenu, baadae watoto wakikua ndio hawa wanaume wanajitokeza.
MIMBA ZA MWENDO KASI SIKU HYO HYO UKIPIMA INAONEKANAHuyo ana miaka 19?
MIMBA INAONEKANA SIKU HIYOHIYO NI KUKU AU?Kunguru huyooi kabisa
Ova