Abdu Kiba ampa mimba mwanafunzi wa miaka 19 na kumtelekeza

daaaah kwa kweli Mungu anusuru vizazi vyetu... mbona wanakua viazi namna hii!!!
 
sasa kama alishoboka mwenyewe mlitaka afanyejwe
 
Mwanafunzi wa miaka 16 ana miliki simu hadi kuingia huko insta na whatsapp!!!!
 
Binti muongo huyu, eti nilikataa shule kwa ajili ya Abdul, eti mtoto wa geti kali, kalala nje karudi nyumbani anaulizwa shemeji yuko wapi? geti kali huyu, katiwa akarudi anasikia kichefuchefu hospital kaambiwa dalili za mimba, haa mimba ya masaa yasiyozidi 12 inaonekana? halafu tena wametiana maa mbili siku 2? global kama i kutafuta kuuza habari kwa hii mmechemka.
 
Eti kapata mimba siku moja tu akajua [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mimba ya siku moja imeonekanaje????mh jamani
 
Back
Top Bottom