Binti muongo huyu, eti nilikataa shule kwa ajili ya Abdul, eti mtoto wa geti kali, kalala nje karudi nyumbani anaulizwa shemeji yuko wapi? geti kali huyu, katiwa akarudi anasikia kichefuchefu hospital kaambiwa dalili za mimba, haa mimba ya masaa yasiyozidi 12 inaonekana? halafu tena wametiana maa mbili siku 2? global kama i kutafuta kuuza habari kwa hii mmechemka.