Abdu Kiba ampa mimba mwanafunzi wa miaka 19 na kumtelekeza

Ni ajabu kabisa mtu mmejuana kipindi kifupi afu unapiga dry chama...hivi visanii vya uswahilini ni bure kabisa
 
Hivi sheria zinasemaje kuhusu wanaokataa watoto wao?


Ikigundulika mtoto ni wa kwako na umemkataa hawakuachi uende tu, unashurutishwa kuchangia huduma zinazostahili. Kama ni mfanyakazi itakatwa sehemu ya mshahara anapewa mtoto. Kuna nchi nyingine ukimtelekeza mwanao unaweza kufungwa jela.
 
Abdu Kiba anashtumiwa kumpa mimba mwanafunzi, mwanafunzi huyo anadai walikutana Instagram, kisha akampa namba yake ya simu wakawa wanachat WhatsApp ndipo walipoendelea kuwasiliana hadi kukutana na kuja kufanya mapenzi na sasa hivi amemruka
huyu dem anavojieleza utazani kabakwa
 

Kuna haja ya kuanzisha Kiba na wanawe maana Ally akileta na Abdul akileta sijui kama kuna wengine kimnya kimnya itakua kijiji .Big up kwa kazi ila muwe mnawatunza tu watoto wenu.

Serikali iruhusu tu DNA zipimwe kama maleria hizi kesi za mimba isiwe taabu
 
Kwa comment za humu nimeamini wengi wanawahi kukurupuka kuchangia pasipo kufatilia hata video husika

HUYO MALAYA NI MUONGO 100%
 
Masupastaa wanatuharibia wadogo zetu na dada zetu. Wanawake nao wapunguze tamaa.
 
Issue sio kuwa mtu mzima au kushobokea mastaa. Ukimtia mimba msichana kutoa huduma Ni muhimu. Naona watu wengi hapa wanajitoa ufahamu Tu.
Huduma itatolewa kwa mtoto akishazaliwa sio mimba ambayo bado ni ngumu kudhibitisha kuwa ni ya nani.
 
Huduma itatolewa kwa mtoto akishazaliwa sio mimba ambayo bado ni ngumu kudhibitisha kuwa ni ya nani.


Mama ndio anamjua aliemtia mimba, sasa Daudi Mchambuzi unataka uthibitisho kwani ulikuwepo kushika upaja? JF mmesimama kidete kumpinga huyu msichana. Eti anashobokea mastaa, staa wenyewe Abdu Kiba? [HASHTAG]#SMDH[/HASHTAG]
 
Wkt anatongozwa na kula kiepe yai pia angesema
 
Mmmmmmmmmh mimba cku Moja ulivyotoka direct hospital na kukutwa nayo Hiyo hatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…