Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mm pia namkubali Raymond yuko vizr harmo anabebwa tuHarmonize yupo vizuri aisee,
hv hiyo nayo ninyimbo yakufananisha na ibaki story,kwetu na bado huyu ana utani kuimba bado huyu dogo wangine hawamjuiKijana anajua Sana kuna ngoma yake imetoka juz Kati iko poa sana![]()
Mdogo wake KibaHuyo ndio nan?
we unajua mziki kweli au hao wawili hujawasikia bdoWcb ni harmonize tu wengine hakuna kitu
UmenichekeshaKweli hamna mtu wa WBC hata mmoja anaweza kuimba na Abdu kiba,maana vitu anavyoimba hata havieleweki,yaani kuandika hajui,sauti inabebwa na vifaa vya mzungu,ataimba nini sasa na mtu kama RAYVAN A.K.A VIPAJI VINGI,labda aimbe na manfongo
Kwel kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Uyu abdu kiba nyimbo yake 1 tu ndo aliimba vzr ule wa sio demu ft nay tena alibebwa bebwa 2. The rest hamna ki2. Aendelee kupiga ngoma ndo anafitKweli hamna mtu wa WBC hata mmoja anaweza kuimba na Abdu kiba,maana vitu anavyoimba hata havieleweki,yaani kuandika hajui,sauti inabebwa na vifaa vya mzungu,ataimba nini sasa na mtu kama RAYVAN A.K.A VIPAJI VINGI,labda aimbe na manfongo
Abdul fundi hata huyo hamonaizi haingiiLabda alimaanisha harmo ...... Ila kwa Raymond na mavoko...badoo sanaa
endeleeeni kujishindanisha na hao wapuuuzi wenzenu sio huku kwenye "singeli" watu wenyewe pumzi kisoda mkiambiwa muimbe live mnabaki mnaimba dk 2 dk 20 mnawaachia mashabiki,sasa mliitwa muimbe au muwaimbishe wengine.....????Kweli hamna mtu wa WBC hata mmoja anaweza kuimba na Abdu kiba,maana vitu anavyoimba hata havieleweki,yaani kuandika hajui,sauti inabebwa na vifaa vya mzungu,ataimba nini sasa na mtu kama RAYVAN A.K.A VIPAJI VINGI,labda aimbe na manfongo