Abdu Kiba: Wasanii wa WCB wanabebwa na promo, hakuna anayeweza kuimba na mimi

Mwanaume anaye vaa Pete kwenye kidole cha mkono kinachofuata baada ya kidole Gumba hua ni punga, huyu nae ni Punga mzoefu atakua
 
Kwahiyo wasanii wa Bongo wameona pa kutokea ni kwa DIAMOND tu, hakuna kwingine ???
 
Kijana anajua Sana kuna ngoma yake imetoka juz Kati iko poa sana
a9c292c95bfc9e8eccbbd54c39db4bba.jpg
hv hiyo nayo ninyimbo yakufananisha na ibaki story,kwetu na bado huyu ana utani kuimba bado huyu dogo wangine hawamjui
 
Kweli hamna mtu wa WBC hata mmoja anaweza kuimba na Abdu kiba,maana vitu anavyoimba hata havieleweki,yaani kuandika hajui,sauti inabebwa na vifaa vya mzungu,ataimba nini sasa na mtu kama RAYVAN A.K.A VIPAJI VINGI,labda aimbe na manfongo
 
Na yy a jipige hyo promo kama anafikir promo makalio kila mtu anayo
 
hana lolote hayo ni maji ya shingo ameshanyolewa braza ake na yeye anataka anyolewe na hamo
 
Huyu dogo bwege kma braza wake.....mbna wao wanabebwa na timu vigodoro tena ni aibu mwanaume kubebwa na wema.....anyamaze tu afanye juhudi kumshauri kaka yake ajenge nyumba
 
Kweli hamna mtu wa WBC hata mmoja anaweza kuimba na Abdu kiba,maana vitu anavyoimba hata havieleweki,yaani kuandika hajui,sauti inabebwa na vifaa vya mzungu,ataimba nini sasa na mtu kama RAYVAN A.K.A VIPAJI VINGI,labda aimbe na manfongo
Umenichekesha
 
Kwel kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Uyu abdu kiba nyimbo yake 1 tu ndo aliimba vzr ule wa sio demu ft nay tena alibebwa bebwa 2. The rest hamna ki2. Aendelee kupiga ngoma ndo anafit
 
Kweli hamna mtu wa WBC hata mmoja anaweza kuimba na Abdu kiba,maana vitu anavyoimba hata havieleweki,yaani kuandika hajui,sauti inabebwa na vifaa vya mzungu,ataimba nini sasa na mtu kama RAYVAN A.K.A VIPAJI VINGI,labda aimbe na manfongo
endeleeeni kujishindanisha na hao wapuuuzi wenzenu sio huku kwenye "singeli" watu wenyewe pumzi kisoda mkiambiwa muimbe live mnabaki mnaimba dk 2 dk 20 mnawaachia mashabiki,sasa mliitwa muimbe au muwaimbishe wengine.....????
huyo boya wenu rayvan kwa manfongo atasubiri sana............
 
Back
Top Bottom