Abdu Kiba: Wasanii wa WCB wanabebwa na promo, hakuna anayeweza kuimba na mimi

Akijiunga wcb anakuwq na madam ritha wa BSS kiki inakaa
 
Sio tu promo,skendo pia , tena wanawake wa bongo movies wanatumika sana
 
Ila kiuhalisia ikiwa ni yeye au wasanii wengine kwa sasa wanaumiza kutafuta promo sana kuliko kufanya kazi nzuri ni ngumu kwa sasa kusema msanii flani anaweza kusimamia show pkee maana nyimbo hana mi nadhani wasanii waanze kuumiza vichwa kama zamani.
 
mkuu uko kijijini msimu wa nyani ushaanza??
 
Mdogo wake ali kiba ni mwanamuziki wa bongo fleva(underground mkongwe)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo hata kwa huyo Harmo amuwezi na nyimbo zake za mayoyo mayoyo
Huyu ndo alimtoa nay wa mitego alafu mnaleta dharau endeleeni kutegemea skendo na promo za kijinga
 
Amekaa na kaka yke ambaye ni Star muda sana lkn yy bdo ni underground RayVanny Harmonise wamekuja in short time wamekua mastar lazma apanic
Ukifanya skendo lazma uwe star si ndo kazi yenu wcb
 



Ni kweli pale hakuna msanii wanaimba makorokocho
 
Wasanii wa bongo fleva hawajitambui...Promo ndo Mziki wenyewe hayo mambo ya nyimb yako nzuri iapenya sijui nini na nini yamepitwa na wakati yani hata kama nyimbo mbaya itapedwa tuu..bila promo, kama hunahela ya promo bora ufanye kazi ingine
 
Abdu kiba ndio nani au mtoa mada kakosea jina?
 
Kama rahisi na yeye afanye tu promo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…