Harmonize yupo vizuri aisee,
Sijakuelewa, kivipi yaani?Huyu ndo alimtoa nay wa mitego alafu mnaleta dharau endeleeni kutegemea skendo na promo za kijinga
Huyu sio demu long time backSijakuelewa, kivipi yaani?
So ule ndo ulimtoa Ney, au ndo ulianza kufatilia mziki? Wimbo uliomtoa unaitwa MITEGO na ndipo lilipopatikana jina 'Ney wa Mitego', huo wimbo ulitoka kwenye mwaka 2007, wakati huo Abdu Kiba hana hata singo 1Huyu sio demu long time back
Unaeza ukaanza kuimba zamani lakini watu wakachelewa kukujua so its a problemSo ule ndo ulimtoa Ney, au ndo ulianza kufatilia mziki? Wimbo uliomtoa unaitwa MITEGO na ndipo lilipopatikana jina 'Ney wa Mitego', huo wimbo ulitoka kwenye mwaka 2007, wakati huo Abdu Kiba hana hata singo 1
hawa wana kitabia kimoja cha kujiona bab kubwa, si atumie juhudi zake sasa kufikia level za juu kwa mafanikio kama wenzake wanavyoitumia promo ambayo ye hapendi!
hawa wana kitabia kimoja cha kujiona bab kubwa, si atumie juhudi zake sasa kufikia level za juu kwa mafanikio kama wenzake wanavyoitumia promo ambayo ye hapendi!
Mh ngumu kumezaanatembelea nyota ya alikiba huyu,hana kipaji chochote cha kujifananisha na wasanii wa WCB ambao kabla hawajatua WCB tayari walishakuwa wakali kwanza
Ila kiuhalisia ikiwa ni yeye au wasanii wengine kwa sasa wanaumiza kutafuta promo sana kuliko kufanya kazi nzuri ni ngumu kwa sasa kusema msanii flani anaweza kusimamia show pkee maana nyimbo hana mi nadhani wasanii waanze kuumiza vichwa kama zamani.
hivi Ali naye ni star ?Ukifanya skendo lazma uwe star si ndo kazi yenu wcb