Abdu Kiba: Wasanii wa WCB wanabebwa na promo, hakuna anayeweza kuimba na mimi

Abdu Kiba: Wasanii wa WCB wanabebwa na promo, hakuna anayeweza kuimba na mimi

Huyu dogo mi naona anatembelea nyota ya kaka yake tu..Ila wa kawaida sana
 
Huyu sio demu long time back
So ule ndo ulimtoa Ney, au ndo ulianza kufatilia mziki? Wimbo uliomtoa unaitwa MITEGO na ndipo lilipopatikana jina 'Ney wa Mitego', huo wimbo ulitoka kwenye mwaka 2007, wakati huo Abdu Kiba hana hata singo 1
 
Unaeza ukaanza kuimba zamani lakini watu wakachelewa kukujua so its a problem
 
anatembelea nyota ya alikiba huyu,hana kipaji chochote cha kujifananisha na wasanii wa WCB ambao kabla hawajatua WCB tayari walishakuwa wakali kwanza
 
anatembelea nyota ya alikiba huyu,hana kipaji chochote cha kujifananisha na wasanii wa WCB ambao kabla hawajatua WCB tayari walishakuwa wakali kwanza
Mh ngumu kumeza
 
WCB wanajua kidogo na kubebwa kwa sana WCB hakuna mtu mwenye huwezo wa kusimama na benpol au Bell9 au linex
 
Ila kiuhalisia ikiwa ni yeye au wasanii wengine kwa sasa wanaumiza kutafuta promo sana kuliko kufanya kazi nzuri ni ngumu kwa sasa kusema msanii flani anaweza kusimamia show pkee maana nyimbo hana mi nadhani wasanii waanze kuumiza vichwa kama zamani.

Kaukweli hako
 
kama ni simple nawewe katafute bongo muvi mmoja tokanae then utakuwa star tu.
 
Back
Top Bottom