Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
Upumbavu mtupu wameshindwa kufanya hayo miaka Yao 30 ya utawala ndio waje wafanye ndani ya miaka 5 !!?? Hiyo Danganya toto tu Kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi...Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan [emoji809] Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanzania yenye kasi zaidi ya maendeleo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya amewataka Watanzania kutofikiria kujiunga na vyama vingine hapa nchini tofauti na CCM kwani ndicho chama pekee chenye uimara wa kuongoza nchi.
“Uongozi huwa ni hekima na busara, sioni uwezo wa kisheria wala kinguvu wa kusimamisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu,” - Abdul Kambaya, Kada wa CCM akizungumza katika mahojiano baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma.
Alihamia chadema alafu kahama tena kwenda ccmHuyu alikuwa CUF kaona aunge mkono juhudi sio
Chawa chawa chawa chawa ad infinitum na walaaaniwe waregeee washindweee na kupoteaKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanzania yenye kasi zaidi ya maendeleo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya amewataka Watanzania kutofikiria kujiunga na vyama vingine hapa nchini tofauti na CCM kwani ndicho chama pekee chenye uimara wa kuongoza nchi.
“Uongozi huwa ni hekima na busara, sioni uwezo wa kisheria wala kinguvu wa kusimamisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu,” - Abdul Kambaya, Kada wa CCM akizungumza katika mahojiano baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma.
Ndio malaya wa kisiasaAlihamia chadema alafu kahama tena kwenda ccm
Huyu jamaa kaivuruga cuf, kaenda Chadema. Hivi sasa ccm, halafu Akina G55 wanataka watutumie watz kama ngazi ya kutafuta maslahi yao, wafukuzwe tuKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanzania yenye kasi zaidi ya maendeleo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya amewataka Watanzania kutofikiria kujiunga na vyama vingine hapa nchini tofauti na CCM kwani ndicho chama pekee chenye uimara wa kuongoza nchi.
“Uongozi huwa ni hekima na busara, sioni uwezo wa kisheria wala kinguvu wa kusimamisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu,” - Abdul Kambaya, Kada wa CCM akizungumza katika mahojiano baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma.
Jinga sana, huyu ni chawa mpuuzi sana!Upumbavu mtupu wameshindwa kufanya hayo miaka Yao 30 ya utawala ndio waje wafanye ndani ya miaka 5 !!?? Hiyo Danganya toto tu Kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi...
Nchi hii siku wananchi wakianza kuamka ndio maendeleo yataanza kupatikana.
Du nilikuwa nimepigwa ban muda siyo mrefu nashangaa nimerudi nawashukuru adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity na Malaria 2 najua lazima wao ndiyo wamenipigania kwa JF hili niondolewe BAN maana walinitaka nishuke ilimu kuhusu hizi DINI ZAO ZENYE UTATA HIVYO NA TOA AHADI KUWA NITAKUJA KULETA UZI WENYE FAFANUZI KAMILI.KUUSU HUU UPOTOVU WA UKRISTO NA UISLAMUKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanzania yenye kasi zaidi ya maendeleo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya amewataka Watanzania kutofikiria kujiunga na vyama vingine hapa nchini tofauti na CCM kwani ndicho chama pekee chenye uimara wa kuongoza nchi.
“Uongozi huwa ni hekima na busara, sioni uwezo wa kisheria wala kinguvu wa kusimamisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu,” - Abdul Kambaya, Kada wa CCM akizungumza katika mahojiano baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma.
Hana msimamo kama mshipa/busha/ ngiri maji. Mbele hayupo nyuma hayupo.Alihamia chadema alafu kahama tena kwenda ccm
Tuondolee matapeli hapa bwana. Hulioni hilo li Nchinbwi linavyonuka rushwa na uroho wa madaraka.Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanzania yenye kasi zaidi ya maendeleo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya amewataka Watanzania kutofikiria kujiunga na vyama vingine hapa nchini tofauti na CCM kwani ndicho chama pekee chenye uimara wa kuongoza nchi.
“Uongozi huwa ni hekima na busara, sioni uwezo wa kisheria wala kinguvu wa kusimamisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu,” - Abdul Kambaya, Kada wa CCM akizungumza katika mahojiano baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma.
Ilipaswa ukae zaidi kifungoni kama Maghayo The Mongolian Savage , akili za kubeti haziwezi kuwa na madiniDu nilikuwa nimepigwa ban muda siyo mrefu nashangaa nimerudi nawashukuru adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity na Malaria 2 najua lazima wao ndiyo wamenipigania kwa JF hili niondolewe BAN maana walinitaka nishuke ilimu kuhusu hizi DINI ZAO ZENYE UTATA HIVYO NA TOA AHADI KUWA NITAKUJA KULETA UZI WENYE FAFANUZI KAMILI.KUUSU HUU UPOTOVU WA UKRISTO NA UISLAMU
Oya ni cash out au nisubiri milioni 2🤔🤔🤔Ilipaswa ukae zaidi kifungoni kama Maghayo The Mongolian Savage , akili za kubeti haziwezi kuwa na madini
CCM kumejaa majangili tupuTuondolee matapeli hapa bwana. Hulioni hilo li Nchinbwi linavyonuka rushwa na uroho wa madaraka.