Abdul kufanya Ziara kwa Wakuu wa NCHI Afrika, ni Maandalizi ya Kutaka URAIS ?

Hizi timu zimetoka wapi? Mbona ni timu moja hao? Ingekuwa ni timu mbili pangechimbika, wangerushiana matope ya kufa mtu. Kikwete ni mjuzi wa siasa za kuchafuana, huyo abdul angechafuliwa fasta kama ana kuna mpango wa kumfanya awe rais
 
Huyo nae amfate baba ake alipo sasa
 
Mtu yeyote wa nchi hii anahaki ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi kwa kufuata kanuni, sheria na katiba ya Nchi.

Huyo Abdul kwa nini unauliza haki yake ikiwa anahitaji kuwa Rais au kiongozi yeyote?
Hii ni nchi ya Demokrasia Mkuu.

Siasa za hivi hazifurahishi. Zinaonyesha tabia isiyo njema.
 
ok.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…