Abdul Malik acha dharau kiasi hicho kwa Watanzania. Egypt nayo ni Afrika na sisi siyo Hopeless

Abdul Malik acha dharau kiasi hicho kwa Watanzania. Egypt nayo ni Afrika na sisi siyo Hopeless

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election.

Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa nafanya nini pale. Jamaa aliniambia maneno ya dhihaka sana. Kuwa sisi watanzia tuna kiongozi asiyejua anafanya nini Ikulu. Yupo kama boya na ni hopeless. Alienda mbali kusema nchi tunaiuza kwa wachina na wazungu. Na watanzia wachache ambao wanafaidika na ufisadi pasipo kujali maslahi ya nchi. Jamaa aliongea maneno mengi ya kuudhi na kashfa ambayo yalinifanya nivae uzalendo

Nliona kama anatumika kutudhalilisha na kutusiliba watanzania wote. Alitubagaza sana kwa kweli nlihuzunika. Hakuna kitu kinaumiza kama kuambiwa mnaongozwa na kilaza. Maana yake ninyi ni vilaza. Hayo ni matusi mabaya sana.
 
Sujaona shida yoyote hapo.
1. Nchi kauza kweli. Kwa waarabu.
2. Sio rais halali. Hatujamchagua.
3. Ni kweli hajui nini anafanya ikulu. Sasa hivi anapaogopa. Anakimbilia huko kwao zenji.
4. Ni kweli hajali maslai ya nchi. Anajali maslai ya Msongagang na mafisadi wengine.
Kifupi kama jamaa alitamka hayo uliyoandika, alikuwa sahihi.
 
Siku nchi ikija kuongozwa na mtu mwenye akili kubwa, upeo sahihi, na uzalendo halisi, kila mtu atabaki akijiuliza iliwezekanje kutawaliwa na kilaza wa kiwango hiki! Kwa kweli ni maajabu ya Dunia: Form 4 failure, Masomo yote F, D moja tu ya Kiswahili. Maana yake hakuna kabisa hata ile akili ya kufundishika! Usekretarieti tu, alivurunda! Jakya alaumiwe. Magu alikat kuwa mwenza, Jakya akafoka kuwa mgombea hana maamuzi juu ya mwenza, yeye anaambiwa tu kuwa huyu ndiyo mwenza wako. Kweli ngno ni laana!!
 
Ngoja Waislam wenzie waTZ wamsikie. Watasema katumwa na makafiri.
 
Mwambata kazi yake ni kukusanya taarifa za kiintelejensia hata kama mlangoni kwake ofisini kumeandikwa Mwambata wa Masuala ya utamaduni.

Hivyo jamaa ameamua kukuambia yale hasa anayofanya kwa kofia ya mwambata wa 'biashara'
 
Back
Top Bottom