Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Hawa waliandaliwa kikao na wanausalama. Kikao kilifanyika seashell s hotel na huyu bwana mropokaji ameandaliwa hata vya kusema. Ameonekana akiwa na TISS Mara baada ya kikao na jana alikuwa nao pia
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.
==
Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
Huyo ni CCM 100%Mwenye kumbukumbu ni lini hawa waliwahi kuandamana wakapigwa? Au hata maandamano ya Amani tuu?
Sahihi kabisa. Akitaja na tarehe,siku na mahali itakuwa poa.Mwenye kumbukumbu ni lini hawa waliwahi kuandamana wakapigwa? Au hata maandamano ya Amani tuu?
Hata sijawahi kumsikia hata siku moja, kenge huyu
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.
==
Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
bora tubaki tukijua tu kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM ,, huku kwingine acha watu wapambanie ruzuku, ajira zenyewe ngumu
kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa)
Wanaume kama mahanithi, aloiwasema Maalim seif. Mwanamume huwezi kununuliwa suti ukasaliti milioni 60. mahanithi tu hao
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate ladha hiyo (ya kupigwa) ili kesho waone huruma wa kuwaingiza watanzania wenye wali duni wakapate majeraha na kushindwa kufanya shughuli zao.
==
Pia soma: Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha
Kwa muonekano na jinsi ya uwasilishaji wa hoja zake inaonekana wazi huyu jamaa ni mweupe kichwani kwenye kujenga hoja. Miemuko yote ile inatokana na rushwa ya kununuliwa hiyo nguo aliyoivaa.?