Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Tembea ujionee mkuu nyie siamtaki siasaUshindweeee!
Huwezii kupinga namna hiyoo!
Pumbaavu wewee!!
πππππ
Mkuu huyu Kijana amenyookaSiku hizi kaacha kwenda kwa yule mganga wake kule tanga?
Madeni ya watu hapo kariakoo keshamaliza kuyalipa?
Umeongeaje hapo?Wewe mtoto wa baba yako mfano mzee pasco mayala umefaidika na JF kupata ID
Sawa, ila kuna tunaomjua mpaka basi.Mkuu huyu Kijana amenyooka
Kwa nini bakhresa hakuhama kkoo miaka ya 80 ahamie mbezi kwenye jumba la kifahari miaka ya 2000Kama ni mfanya biashara wa muda mrefu kwanini hakununua hilo gari zamani aje anunue katika kipindi kama hiki????
Wachaaa wee!!Tembea ujionee mkuu nyie siamtaki siasa
πππππWatumishi wa CCm kitengo cha mtandao buku saba mshakuwa mabaunsa wa keyboard View attachment 3455456