Abdul mtoto wa Rais ni mfanyabiashara wa muda mrefu swala la yeye kununua gari ni jambo dogo sana

Abdul mtoto wa Rais ni mfanyabiashara wa muda mrefu swala la yeye kununua gari ni jambo dogo sana

Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .
Muuza matairi ya rejareja na RR ya 2B TShs dah….! Hebu acheni masihara, wauza matairi wenzake bado wanakimbizana na kodi za council na TRA.
 
Weak mind discuss people,, yaani umekaa umetafakari ukaamua umuanzishie Uzi

Hovyo 🚮
 
Danganyeni wajinga, eti biashara! Akina Chibu Dangote wamepambana haswa kununua RR, unazungumzia mfanyabiashara wa tyres Kariakoo. Unafikiri 2B ni mzaha?

Hizo familia za mafisadi zimeishi zikitufuja kwa makumi ya miaka leo hii eti mtueleze wamechakarika!

Na Rizmoko utasema alichakarika, na kule Ug Kainerugaba anayetamba kumzidi utajiri Jay Z chawa wake watasema alichakarika! Familia za mafisadi wa kiafrika vyanzo vyao vya ukwasi vinajulikana.
 
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .
huyu nae si akakae chamwino na mamake, kutuongezea jam tu mjini,
 
aliekwambia watoto wa Mkapa maskini ni nani?
Hapa, siongelei ukwasi bali namna walivyotumia madaraka ya mzazi wao kujitajirisha. Ukiondoa scandal ya Nicolas na Mkewe na kampuni yao ya Fosnik, ni wangapi wanashitakiwa kama hawa watoto wa majizi mengine?
 
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .

Vijana wa nyumba nyeupe masaki 😂
 
Kawaongezea dau mje mjaze nyuzi na comments. Hawezi kubadili upepo. Tushajua ufisadi wao, atulize buyu akune.. Mwambie yeye na Mama yake kuwa sisi Watanzania zetu ni dua tu. Mali za dhulma na wizi wa kodi zetu zina mwisho mbaya.
 
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .
Umepewa pesa kidogo tu umeanza kubwabwaja. Mchacharikaji wewe pia unalo hilo gari la Bil 2? Wakati mwingine ni vizuri kuvumilia njaa yako kuliko kuongea pumba. Watu wanaomfahamu? Nani hao wanaomfahamu? Sisi tunaomfahamu, tusiseme? Hujui tunachokiongelea kwa sababu ya akili yako fupi.....suala si gari, tunazungumzia kitu kingine, wewe unaropoka tu.
 
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .
Kufanya Karamu za kufuru msibani ni kuchochea uchungu wa msiba!
MUNGU HADHIHAKIWI
NASIMAMA NA HAKI
 
Back
Top Bottom