Abdul mtoto wa Rais ni mfanyabiashara wa muda mrefu swala la yeye kununua gari ni jambo dogo sana

Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .
Haina shida lau tungepata TIN ya Bishara zake, tuta cross check na TRA vile vile na BRELA
 
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .
Nani kakuambia anafuatiliwa kwa sababu ya gari? Acha uchonganishi
 
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.

Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.

Tuache wivu na chuki .
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua. Mafala wenzio huko huko. Sikutegemea kama nchi Ina wajinga kama wewe. Wewe ni mjinga kuliko hata ujinga wenyewe. Ni kili wazi kabisa wapo wazazi wamezaa wajinga na wapo watoto wamezaliwa na watazaliwa na wajinga. Na mjinga ni wewe
 
Nimeanza kumjua Abdul around 2010,akiwa na biashara za distribution na supermarkets kabla ya kuwa supplier wa matyre kariakoo.Enz hizo hata Samia simjui anafananaje na Abdul alikuwa na gari kali tu. Sahzi nina Malori manne,basi mbili na sina connection yoyote sembuse yeye?! Japokuwa siuelewi utawala wa mama yake,ila Sijui nongwa zinatokea wapi
 
Upo sahihi watz wana akili ndogo Sana na nimeshangaa kuona wanamchukia Abdul kuishi good life
 
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakufurumua. Mafala wenzio huko huko. Sikutegemea kama nchi Ina wajinga kama wewe. Wewe ni mjinga kuliko hata ujinga wenyewe. Ni kili wazi kabisa wapo wazazi wamezaa wajinga na wapo watoto wamezaliwa na watazaliwa na wajinga. Na mjinga ni wewe
Tatizo. Haumjui Abdul mkuu MTU yupo katika game ya biashara kubwa then Leo unashangaa kutembelea Gari la 2B
 
Back
Top Bottom