Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

Wakati wa utotoni nimekutana sana na Mwinyi enzi za uraisi wake akiwa anafanya jogging huku akifuatwa na bodyguards
 
Hii ya Mungu amrehemu Kwan amekosa nin ambayo ww unaijua. Kuvishana mi dhambi tu hakuna lugha nyingine
 
Si ndio umeambiwa miaka 2 nyuma, au hujui kusoma kalenda ya kiislamu?
Kasema kaanza kuugua miaka miwili iliyopita sasa wewe unasema sijui kalenda ya kiislam! Kuna sehemu kataja kalenda ya Kiislamu pale,ubishi mwingine hauna maana.
 
Sasa kwa makadirio ya haraka haraka ni kama miaka miwili tu hapo. Kwa lugha nyepesi ameumwa miaka michache iliyopita ambayo hauzidi mitano.
Kutoka 2019 hadi 2024 ni zaidi ya miaka miwili na mitano hakusema hiyo ni yako yeye kasema miaka miwili, tukubali tu kakosea labda kavurugwa na msiba.
 
Dr. Janabi atembelea Hii Kiki[emoji4]
 
Dr. Janabi atembelea Hii Kiki[emoji4]
Mzee Mwinyi alikuwa anakunywa Juice kama kawaida na hata pilau za kwny hafla kama kawaida

kila kitu fanya kwa wastani

msosi, mazoezi, kupumzika n.k

kuna mtu hataki kunywa juice hata robo glass kwa mwaka mzima kisa suala la Afya, labda kama inakudhuru

mie kila kisicho haram kwa imani yangu nakula japo kwa kiasi na Namshukuru Allah sina allergy ya chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…