Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Anasema hiyo hali ikikutokea ni mbaya sana,inabidi ufunge kula wiki nzima bila kula chochote ili mwili uhisi hatari na kuamsha vichochezi mwili ili uweze kujilinda,yaani ni hatari sana,unaweza kupoteza maishaProfessor Janabi anasemaje kuhusu Mtu kutokuumwa