Unatukana aliepost sio Abdul Nondo naomba umuombe radhi mtoa mada mara moja kabla sijakuchukulia hatua za kishirikina
Wimbo ulio toka juzi wa Nipeni Maua Yangu
Kuna sehemu ROMA yeye amechagua siku uchaguzi ukija hapa Tanzania basi hatachagua CCM bali atachagua JIWE kwa kuwa kiongozi wa vyama pinzani DJ amebwafa manyanga.
Kwa muktadha huo wa ROMA hata mimi nawashauri wengine wanaodhani siasa ni mpaka kiongozi wa upinzani awe na siasa za ugomvi na vurugu nao waungane na ROMA
Anacho fanya mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan ni ku heal the Nation na Mbowe Ana heal the members of the Nation.
Sasa kwa miaka 2016-21 wengi wetu tuliongeza maradhi badala ya kupunguza maradhi
Maradhi sita yaliisonga nchi hii kwa kipindi hicho
Labda tukumbushabe tena maradhi hayo ambayo ni kisiasa,kiuchumi,kisaikolojia,kiutamaduni,kibiolojia,kiakili.
Sasa ukiangalia katika jicho la mwewe utagundua wanachofanya mheshimjwa Rais na Mbowe ni kupita njia za kutibu maradhi hayo hasa yale ambayo yanagusa jamii kwa asilimia kubwa
Bila kuficha jamii ya Tanzania kisiasa huwezi Acha kuvitaja CCM NA CHADEMA,na ndio ambao wana jamii kubwa,hivyo maradhi ya kisiasa yaliathiri vyama hivyo viwili.
Kwa kuwa hapa ni sehemu ya Great thinkers niishie kusema ROMA APEWE UA LAKE LA UCHOCHEZI KWA KUTOPENDA UPENDO,MATUMAINI NA UTENGAMANO.
MUNGU AENDELEE KULETA UTENGAMANO