Abdul Nondo: Hakuna mtu aliyewahi kuthubutu kuandamana kwenda Ikulu zaidi ya ACT Wazalendo

Abdul Nondo: Hakuna mtu aliyewahi kuthubutu kuandamana kwenda Ikulu zaidi ya ACT Wazalendo

Aache kujitapa wakati hayo maandamano hayakutembea hata kilometa moja kuelekea ikulu na wanajua hawawezi kufika huko kinyemela. Ni propaganda tu kwamba walithubutu

Kweli mkuu, hata hatua moja hawakupiga. Waliishia getini ofisini kwao ACT.
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
waliandamana wapi wakati hata hawakutoka getini. Aache urongo yake
 
Huyu wanamlia timing tu. Watamnyamazisha mazima huyu. Unaandamana kwenda Ikulu weee! Yaani ni sawa na mtu anayetaka kupindua nchi.

Sidhani Kama alipanga kwenda Ikulu, nadhani ni kiki. Maana najiuliza nini kiliwazuia mpaka wakasubiri polisi waje?.
 
Huyu pimbi sijui kama anajua alichonena! chama chenyewe kimebebwa na CUF Zanzibar!
huko ikulu Walienda wangapi?
Kufanya nini?
Kama ni Katiba mpya CDM ilishamaliza kazi siku nyingi sana! hawa wapuuzi waache kudandia treni kwa mbele!

Huyo dogo mjinga Sana. Kutangaza maanadamno yaliyofeli yeye kwake kapata kiki ya kuwasema wengine. Aulizie kwamba hata Jeshi limewahi kuandamana kutoka Kawe mpaka Ikulu kwenda kumpindua Nyerere wakapokelewa na Kambona na kusitisha azma yao. Asisahau vijana wa UDSM na BAWACHA enzi za Kikwete.

Na ajue wao hawakuandamana waliishia getini kwenye ofisi za ACT. Narudia tena Nondo ni Mjinga.
 
Wakwanza walikuwa JUMUIA YA WANAWAKE WA CHADEMA wakiongozwa na Halima Mdee kipindi cha Kikwete. Waliishia kupigwa mabomu ya machozi na baadhi ya viongozi wa BAWACHA kukamatwa.

Kipindi hicho Abdul Nondo alikuwa anasoma shule ya msingi ndio maana akumbuki

Kweli kabisa. Wao kukaa getting wanadai wameandamana.
 
Huyu dogo kwa siasa anazofanya atachoka haraka sana kisiasa. Hizi kiki anazopenda kuzivumisha zitamfelisha hatadumu siasani mpaka uzeeni. Ajifunze kwa vijana wenzake walionza siasa za kiki mapema wakaishia kupotea kwenye medani za kisiasa mapema na sasa hawajulikani wanafanya nini, wamepotea siasani.
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Hawana hoja hawa hata kiongozi wao mkuu ayatollah likitokea tukio lolote utasikia anasema mimi nilikuwa wa kwanza kupata taarifa. Kadri siku zinavyo songa tutawasikia wakisema wao ndio wa kwanza kunya hapa nchini.
 
Hayo yalikuwa maandamano au maigizo?uliona wapi Maandamano yanafanyika ofisini na polisi wanayazuia uawana ha kilumgu?
 
Attachments

  • 20230419_090951.jpg
    20230419_090951.jpg
    67.1 KB · Views: 4
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.

Labda alikusudia chama ?
 
Kijana wakati unajiteka mwenyewe sisi tulikuwa tushaandamanaga mara kibao tu kwenda Ikulu - waulize wakongwe enzi za ngunguri and ngangari.
 
Lissu akiamua kuongoza maamdamano polisi hawatatosha, mama analijua Hilo kaamua kuanza kumgawia mbowe asali.
Huyo Lisu ndo kunguru kbsa, mara ngapi kakimbia nchi?
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Daaah 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom