Bado ni mchanga kisiasaHabari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!
Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Huyu wanamlia timing tu. Watamnyamazisha mazima huyu. Unaandamana kwenda Ikulu weee! Yaani ni sawa na mtu anayetaka kupindua nchi.Habari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!
Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Wakwanza walikuwa JUMUIA YA WANAWAKE WA CHADEMA wakiongozwa na Halima Mdee kipindi cha Kikwete. Waliishia kupigwa mabomu ya machozi na baadhi ya viongozi wa BAWACHA kukamatwa.Kwahiyo waislam ndo wa kwanza kuandamana,
itakusaidia nini hii
Acha upumbavu wewe kwanza hata historia ya nchi yaonekana huijui ndo maana unaitwa NondoHabari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!
Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Sioni kama anakosea, bali wewe ndio unatakiwa kujitathmini unaposema unamsikiliza Abdul Nondo...🤣Habari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!
Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Unatukana aliepost sio Abdul Nondo naomba umuombe radhi mtoa mada mara moja kabla sijakuchukulia hatua za kishirikinaAcha upumbavu wewe kwanza hata historia ya nchi yaonekana huijui ndo maana unaitwa Nondo
Wimbo ulio toka juzi wa Nipeni Maua YanguUnatukana aliepost sio Abdul Nondo naomba umuombe radhi mtoa mada mara moja kabla sijakuchukulia hatua za kishirikina
Watu waliandamana kudai bumu kwenda ikulu wakati yeye anakula maparachichi Kigoma.Habari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!
Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Habari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!
Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Aseme kujaribu? Walifika wapi?
Wanaume hawapangiwi mambo yaoo bwana mdogo anaonyesha wazi kabisa yeye ni kiongozi mwacheni apambanie njia yake kipo kitu mbeleni mwake uoga uoga hauwezi kukukomboa popote palee
Angalau abdul nondo ameonesha uthubutu tofauti na watz wengi waoga.Abdul komaa tuko nyuma yako tunakuunga mkono maandamano kuelekea ikulu.Ikulu ya awamu hii inamatumizi mabaya ya pesa za umma.Tirillioni na trillioni zinapotea kila siku huku chawa wakimpamba
Ni kweli.hata gettini hawakutoka