Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi.
"Serikali itapata faida nyingi, itapunguza migogoro ya Ardhi sababu kila mtu atakuwa na hati yake , serikali itapata Kodi ya Ardhi zaidi, Serikali itapata Capital Gain Tax (Watu wakiuziana ardhi na kubadili umiliki), Stamp duty, uchumi utachangamka sababu watu watakuwa wanakopesheka kirahisi katika taasisi za kifedha sababu ya uwepo wa hati kama dhamana (Collateral)."