Abduli ni nani ndani ya serikali ya mama yake.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza.
Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka kupinduliwa.

Sasa hapa unawezaje kumwambie afande awadhi wewe utakuwa IGP kisa mama yako ni raisi.

Uwoni unalitenganisha jeshi na idara nzima.
Sasa unayopelekea unamponza mama yako
 
Kumbe kaahidiwa?
 
"Mdomo uliponza kichwa"
Na:
Suleiman Mbwembwe wa Msondo Ngoma Music Band
 
abdul ni mtoto wa nani?
 
naskia mnasema dogo ana nguvu serikalini.ni nguvu gani hyo kwani yeye ana cheo gani huko??
 
Ana nguvu kuliko mawaziri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…