Abdullah Ally Hassan Mwinyi akila kiapo Bungeni Dodoma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Ni mbunge wa Bunge la Tanzania

Ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania & Zanzibar

Msomi wa Shahada ya Uzamili Sheria aliyoipata Chuo Kikuu Cha Wales nchini Uingereza.

Amehudumu akiwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa Miaka kumi kuanzia 2007

Mwanachama hai na Mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi

Mtoto wa Mheshimiwa Ally Hassan Mwinyi na Bi Sitty Mwinyi

 
Sioni tatizo,fundi garage aliefanikiwa humrithisha mwanaye kazi za ufundi garage kwakuwa yeye ndio anaona zinalipa,sijui kwa wewe!uone fani unayofanyia inakulipa halafu umrithishe mwanao fani tofauti tena isiyo na maslahi,kama mzazi wa hivyo yupo ni one in a million...
 
kuna mtu ashawah sema kama hujazaliwa kwny channel ya hela ni...... saaasa naamin mana baba ni rais mstaafu mwanae n rais mwanae mngne mbunge
 
Ndio maana Mzee Mwinyi aliwashambulia sana Makamba na Kinana wakati wa sakata lile. Alikuwa anajua anao vijana wawili watatu watakaotakiwa kuchukua ufalme kule
 
Huyu ndio rais mtarajiwa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Huyu ndio rais mtarajiwa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Yani Familia ya mwinyi imeendekezwa Sana kama ya mzee kikwete wote wamebaki madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…