Abdullah Mwinyi ailalamikia Vodacom kwa wizi wa Data, 50000 bila matumizi yeyote imeisha

Jamaa ndo michezo yao tena kama unanunua hizi za buku 2 ndo wanavilamba fasta
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.ilinikuta na tigo.nimenunua bando la 500 dakika 10 hazijqfika natumiwa meseji bando limescale.nikawapigia wakaniambia eti niangalie matumizi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…