Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kabisa kabisa!!Mkuu kuna ugumu gani kama ungeenda ilipo shule ukamwuuliza Mwalimu mkuu kuliko kutusumbua wakati tuna mambo muhimu ya kitaifa ?
Wa mwl Nyerere?Alikuwa mpishi Butiama
Sasa nimuelewe naniNi wakili wa mashekhe wa uamsho
Nime Google lakini linakuja jina la shule tu bila wajihi wa mhusika au mwenye jina. Watanzania wengi maarufu hawana CV Google tofauti na jirani zetu Kenya.Mambo mengine unaweza Google Hilo jina ukapata unachotaka ikishindioana pita hapo shuleni maana unapajua mwalimu atakupa data kamili
Maana mm ndo kwanza nasikia kwako kuhusu shule lenye jina Kama hilo
Ilikuwaje akaenziwa kwa shule?ni mjomba wake kishimba
kwani hata najuaIlikuwaje akaenziwa kwa shule?
Afadhi huyo ni RcSiku hizi Shule ukisisimamia tu ukusanyaji wa mchanga inapewa jina lako Arusha nao wanajenga ya Mrisho Gambo
Akija kuvurunda na kufanya vituko shule inakuwa na jina la mtu wa hovyoAfadhi huyo ni Rc
Ndiyo hivyo yaniAkija kuvurunda na kufanya vituko shule inakuwa na jina la mtu wa hovyo
HMkuu kuna ugumu gani kama ungeenda ilipo shule ukamwuuliza Mwalimu mkuu kuliko kutusumbua wakati tuna mambo muhimu ya kitaifa ?
Habar JF siasa.
Wilayani Kahama kuna shule ya secondary inaitwa ABDULRAHIM BUSOKA. Shule hii ina kidato cha kwanza hadi sita.
Ni wazi hili ni jina la Mtu. Sijajua huyu Abdulrahim Busoka ana mchango gani ktk kuanzishwa shule hii au alikuwa nani nchini, mkoani Shinyanga na hata wilayani Kahama iliko shule hii.
Humu ni kisiwa cha ujuvi na maarifa, nawakaribisha kwa ufafanuzi.
Asanteni.
Sijawahi kuisikia shule hiyo (labda kwa kuwa sijafika Kahama muda mrefu, mara ya mwisho nilikwenda mwaka 2012 nikakaa siku tatu tu) ila ninachofahamu kuna eneo linaitwa Busoka, (barabara inayoelekea Masumbwe hadi Rwanda na Burundi), zamani eneo hili lilikuwa kijiji kidogo kilichopo njia panda ya barabara za Bukoli na Ushirombo-Masumbwe, likiwa pembezoni mwa mji wa Kahama lakini baada ya mji kupanuka limekuwa sehemu ya Mji wa Kahama.Habar JF siasa.
Wilayani Kahama kuna shule ya secondary inaitwa ABDULRAHIM BUSOKA. Shule hii ina kidato cha kwanza hadi sita.
Ni wazi hili ni jina la Mtu. Sijajua huyu Abdulrahim Busoka ana mchango gani ktk kuanzishwa shule hii au alikuwa nani nchini, mkoani Shinyanga na hata wilayani Kahama iliko shule hii.
Humu ni kisiwa cha ujuvi na maarifa, nawakaribisha kwa ufafanuzi.
Asanteni.