Abdulrahim Busoka ambaye jina lake linaenziwa kwa kupewa shule ya Sekondari wilayani Kahama alikuwa nani nchi hii?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habar JF siasa.

Wilayani Kahama kuna shule ya secondary inaitwa ABDULRAHIM BUSOKA. Shule hii ina kidato cha kwanza hadi sita.

Ni wazi hili ni jina la Mtu. Sijajua huyu Abdulrahim Busoka ana mchango gani ktk kuanzishwa shule hii au alikuwa nani nchini, mkoani Shinyanga na hata wilayani Kahama iliko shule hii.

Humu ni kisiwa cha ujuvi na maarifa, nawakaribisha kwa ufafanuzi.

Asanteni.
 
[emoji23][emoji23]..
Watu wamevurugwa
 
Mambo mengine unaweza Google Hilo jina ukapata unachotaka ikishindioana pita hapo shuleni maana unapajua mwalimu atakupa data kamili
Maana mm ndo kwanza nasikia kwako kuhusu shule lenye jina Kama hilo
 
Nime Google lakini linakuja jina la shule tu bila wajihi wa mhusika au mwenye jina. Watanzania wengi maarufu hawana CV Google tofauti na jirani zetu Kenya.
 
Siku hizi Shule ukisisimamia tu ukusanyaji wa mchanga inapewa jina lako Arusha nao wanajenga ya Mrisho Gambo
 
Mkuu kuna ugumu gani kama ungeenda ilipo shule ukamwuuliza Mwalimu mkuu kuliko kutusumbua wakati tuna mambo muhimu ya kitaifa ?
H
Habar JF siasa.

Wilayani Kahama kuna shule ya secondary inaitwa ABDULRAHIM BUSOKA. Shule hii ina kidato cha kwanza hadi sita.

Ni wazi hili ni jina la Mtu. Sijajua huyu Abdulrahim Busoka ana mchango gani ktk kuanzishwa shule hii au alikuwa nani nchini, mkoani Shinyanga na hata wilayani Kahama iliko shule hii.

Humu ni kisiwa cha ujuvi na maarifa, nawakaribisha kwa ufafanuzi.

Asanteni.

Huu ni mtandao. Mtu anaweza kuwa ameuliza swali halafu yuko Ulaya au Marekani, sasa atoke huko kote kwenda kuuliza swali kama hilo huu mtandao kazi yake itakuwa nini sasa?
 
Habar JF siasa.

Wilayani Kahama kuna shule ya secondary inaitwa ABDULRAHIM BUSOKA. Shule hii ina kidato cha kwanza hadi sita.

Ni wazi hili ni jina la Mtu. Sijajua huyu Abdulrahim Busoka ana mchango gani ktk kuanzishwa shule hii au alikuwa nani nchini, mkoani Shinyanga na hata wilayani Kahama iliko shule hii.

Humu ni kisiwa cha ujuvi na maarifa, nawakaribisha kwa ufafanuzi.

Asanteni.
Sijawahi kuisikia shule hiyo (labda kwa kuwa sijafika Kahama muda mrefu, mara ya mwisho nilikwenda mwaka 2012 nikakaa siku tatu tu) ila ninachofahamu kuna eneo linaitwa Busoka, (barabara inayoelekea Masumbwe hadi Rwanda na Burundi), zamani eneo hili lilikuwa kijiji kidogo kilichopo njia panda ya barabara za Bukoli na Ushirombo-Masumbwe, likiwa pembezoni mwa mji wa Kahama lakini baada ya mji kupanuka limekuwa sehemu ya Mji wa Kahama.

Inawezekana ndiye mwasisi wa kijiji/eneo hilo...
 
Back
Top Bottom