Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habar JF siasa.
Wilayani Kahama kuna shule ya secondary inaitwa ABDULRAHIM BUSOKA. Shule hii ina kidato cha kwanza hadi sita.
Ni wazi hili ni jina la Mtu. Sijajua huyu Abdulrahim Busoka ana mchango gani ktk kuanzishwa shule hii au alikuwa nani nchini, mkoani Shinyanga na hata wilayani Kahama iliko shule hii.
Humu ni kisiwa cha ujuvi na maarifa, nawakaribisha kwa ufafanuzi.
Asanteni.