Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

Wanatuonaga hatuna akili hawa watu.. Tunaona na kushuhudia maovu yao.. Kila kitu bei juu.. Hata sijui wanadhani wanamdanganya nani..??
 
Screenshot_2024-04-19-09-10-27-621_com.android.chrome~2.jpg
 
View attachment 2967159

Na Mwandishi Wetu, Musoma

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo mada ya Serikali bila ya wananchi kushurutishwa au kuporwa fedha zao.

Akizungumza leo Aprili 17, 2024 katika kikao kazi cha wanachama wa CCM Wilaya ya Musoma Mjini mkoani Mara, Kinana chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia nchi imepiga hatua kubwa ya maendeleo kuliko awamu nyingine.

"Kwanini tusitoe pongezi kwa Rais Samia?. Amefanya kazi nzuri, anajitoa, anajituma na kuwa kiongozi wa mfano anaongoza nchi yetu vizuri na maendeleo yanapatikana kila mahali na Musoma hapa ni mashahidi.

"Hata katika suala la suala la hakuna mwaka tumepata umuhimu mkubwa bila kufungua watu, bila kupora watu kama mwaka huu. Huu ndio ukweli, Watanzania tumuunge mkono, kuna usemi unasema ukitaka jambo lingine mpe mwanaume ukitaka jambo lifanyike kwa uhodari mpe.

"Kazi ya kusema ni ya mwanaume na kazi ya kutenda ni wanawake, akina mama ni waaminifu...Kwa hiyo Rais Samia amefanya kazi nzuri lakini na Chama Cha Mapinduzi kinafanya mengi mazuri zaidi.

"Chama hiki ni kizuri, ukiona hakiendi ujue wakubwa huku juu wanakivuruga, sio wanachama," amesema Kinana na kufafanunua maendeleo chini ya uongozi wa awamu ya sita ambayo imefika hadi Musoma na Mkoa wa Mara kwa ujumla.

"Musoma hapo nyuma nikiwa Katibu Mkuu nilijifunza jukwaa na maendeleo kama ilivyo sasa. wa Musoma Mjini (Vedastus Mataulo) ameeleza kuwa Musoma hamna shida ya barabara za lami, maana zipo.

"Shule ziko nyingi, maji yapo ya kutosha, hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inaendelea vizuri, Rais amefanya mambo makubwa ya maendeleo.

====

View attachment 2967159

Na Mwandishi Wetu, Musoma

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo mada ya Serikali bila ya wananchi kushurutishwa au kuporwa fedha zao.

Akizungumza leo Aprili 17, 2024 katika kikao kazi cha amesema wanachama wa CCM Wilaya ya Musoma Mjini mkoani Mara, Kinana chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia nchi imepiga hatua kubwa ya maendeleo kuliko awamu nyingine.

"Kwanini tusitoe pongezi kwa Rais Samia?. Amefanya kazi nzuri, anajitoa, anajituma na kuwa kiongozi wa mfano anaongoza nchi yetu vizuri na maendeleo yanapatikana kila mahali na Musoma hapa ni mashahidi.

"Hata katika suala la suala la hakuna mwaka tumepata umuhimu mkubwa bila kufungua watu, bila kupora watu kama mwaka huu. Huu ndio ukweli, Watanzania tumuunge mkono, kuna usemi unasema ukitaka jambo lisemwe mpe mwanaume ukitaka jambo lifanyike kwa uhodari mpe.

"Kazi ya kusema ni ya mwanaume na kazi ya kutenda ni wanawake, akina mama ni waaminifu...Kwa hiyo Rais Samia amefanya kazi nzuri lakini na Chama Cha Mapinduzi kinafanya mengi mazuri zaidi.

"Chama hiki ni kizuri, ukiona hakiendi ujue wakubwa huku juu wanakivuruga, sio wanachama," amesema Kinana na kufafanunua maendeleo kupatikana chini ya uongozi wa awamu ya sita ambayo imefika hadi Musoma na Mkoa wa Mara kwa ujumla.

"Musoma hapo nyuma nikiwa Katibu Mkuu nilikuja kujifunza jukwaa na maendeleo kama ilivyo sasa. wa Musoma Mjini (Vedastus Mataulo) ameeleza kuwa Musoma hamna shida ya barabara za lami, maana zipo.

"Shule ziko nyingi, maji yapo ya kutosha, hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inaendelea vizuri, Rais amefanya mambo makubwa ya maendeleo.

====
Siyo kweli
 
Mapato yasiyoleta impact kwa wananchi ni takwimu hewa tu za kupika majukwaani
Tatizo mnawachukulia watanzania ni wajinga sana.
 
Samia hawezi fanana na wajamaa wasiojielewa
expand...
Magufuli aliinadi hii ilani ya 2020/2025 yaani yeye ndiye mwanzilishi wa kujenga bwawa la mwalimu Nyerere na kwenye ilaani ya 2020 ndiye aliyeisimamia labda ni mmbea wewe au ni tapeli fulani la kisiasa kwa sababu Samia hata kwa 1% hawafanani na Magufuli, kwa sbabu uwezo wa Samia ulitegemea kwa magufuli kwa lugha nyingine Samia bosi wake ni Magufuli huu utapeli unaotuaminisha ety sijui nini ni kwa sababu hauna akili, na akili yako imejaa matope na funza kulinganisha Mwanaume wa chato na vitu vya kijinga ondoa tabia za kimalaya malaya
 
Chaka Huwa hakimtumi mtu kupora,ulitaka ccmifanyaje wakati Mwenyekiti wake wa hapo ndio akiamua kuwa dhalimu?
expand...
Magufuli aliinadi hii ilani ya 2020/2025 yaani yeye ndiye mwanzilishi wa kujenga bwawa la mwalimu Nyerere na kwenye ilaani ya 2020 ndiye aliyeisimamia labda ni mmbea wewe au ni tapeli fulani la kisiasa kwa sababu Samia hata kwa 1% hawafanani na Magufuli, kwa sbabu uwezo wa Samia ulitegemea kwa magufuli kwa lugha nyingine Samia bosi wake ni Magufuli huu utapeli unaotuaminisha ety sijui nini ni kwa sababu hauna akili, na akili yako imejaa matope na funza kulinganisha Mwanaume wa chato na vitu vya kijinga ondoa tabia za kimalaya malaya
 
Kwani Rais kuwataka wafanyabiashara waache kukwepa Kodi ndio inafanya Mapato yasipande? Si yamepanda?

Vitu kupanda bei kwani si ndio uchumi Wenyewe? Bei za vitu 2020 zilikiwa sawa na 2015/16?

Makusanyo yamepanda bila kupora pesa ya mtu na yamemuwezesha Samia kufanya yafuatayo Kwa uchache
-Kujenga hospital Mpya za Wilaya 129
-Kujenga Vituo vipya vya Afya 402
-Kujenga shule Mpya za Sekondari zaidi ya 2,300
-Shule za msingi zaidi ya 300
-Madarasa zaidi ya 21,000
-Digital X rays Kwa hospital zote za Wilaya hazikuwwpo 132

Yaani hiyo ni kiuchache sana.Samia ni game changer na Mama wa Uchumi
expand...
Magufuli aliinadi hii ilani ya 2020/2025 yaani yeye ndiye mwanzilishi wa kujenga bwawa la mwalimu Nyerere na kwenye ilaani ya 2020 ndiye aliyeisimamia labda ni mmbea wewe au ni tapeli fulani la kisiasa kwa sababu Samia hata kwa 1% hawafanani na Magufuli, kwa sbabu uwezo wa Samia ulitegemea kwa magufuli kwa lugha nyingine Samia bosi wake ni Magufuli huu utapeli unaotuaminisha ety sijui nini ni kwa sababu hauna akili, na akili yako imejaa matope na funza kulinganisha Mwanaume wa chato na vitu vya kijinga ondoa tabia za kimalaya malaya
 
Chukulia mfano Saizi Samia anakufanyia wewe na ukabiwa hi yo hivyo kwamba wahalifu ni wajanja wajanja utajiskiaje na kuganyaje?
expand...
Magufuli aliinadi hii ilani ya 2020/2025 yaani yeye ndiye mwanzilishi wa kujenga bwawa la mwalimu Nyerere na kwenye ilaani ya 2020 ndiye aliyeisimamia labda ni mmbea wewe au ni tapeli fulani la kisiasa kwa sababu Samia hata kwa 1% hawafanani na Magufuli, kwa sbabu uwezo wa Samia ulitegemea kwa magufuli kwa lugha nyingine Samia bosi wake ni Magufuli huu utapeli unaotuaminisha ety sijui nini ni kwa sababu hauna akili, na akili yako imejaa matope na funza kulinganisha Mwanaume wa chato na vitu vya kijinga ondoa tabia za kimalaya malaya
 
Uhalifu upi? Mbona hamjawahi eleza uhalifu waliofanya? Yaani punguani mmja tuu aje akupore aseme ulishirikiana na Watumishi wa Umma? Yeye ni Mahakama?
expand...
Magufuli aliinadi hii ilani ya 2020/2025 yaani yeye ndiye mwanzilishi wa kujenga bwawa la mwalimu Nyerere na kwenye ilaani ya 2020 ndiye aliyeisimamia labda ni mmbea wewe au ni tapeli fulani la kisiasa kwa sababu Samia hata kwa 1% hawafanani na Magufuli, kwa sbabu uwezo wa Samia ulitegemea kwa magufuli kwa lugha nyingine Samia bosi wake ni Magufuli huu utapeli unaotuaminisha ety sijui nini ni kwa sababu hauna akili, na akili yako imejaa matope na funza kulinganisha Mwanaume wa chato na vitu vya kijinga ondoa tabia za kimalaya malaya
 
Shilingi inazidi kuporimoka na hata hayo mapato kuongezeka hauna faida yoyote kwa uchumi wetu.
 
Back
Top Bottom