Abdulrahman Kinana asamehewa, Bernard Membe afukuzwa rasmi CCM

Alaaa analeta UASI dhidi ya Mwenyekiti wetu.....

Afukuzwe TU....
Aende TU....

Hongera komredi Kinana,Braavoo siempre siempre,aluuuuuutaaaaaa!!
 
Kina membe,makamba's walipanda miba njiani Leo inawachoma awakuiondoa wakijua haitowachoma.
 
Yaani ccm watu wazima wanasamehewa utadhani wamemkosea Mungu wa mbinguni!!!!

Inasikitisha sn ....mtu alitumia demokrasia yake kuongea alichoamini hakiko sawa eti katenda dhambi .....

Nawasikitikia tu wale waliojifanya kuunga juhudi walizoea kumsema mwenyekiti lkn nawaambia huko ccm wakipanua ile midomo yao michafu watajuta maana kule mwenyekiti ni mungu yy ndiye anasamehe dhambi...m
Chama Cha kishetani hikii
 
Pinga sheria kandamizi ukiwa huru ili ukiwa mfungwa ikufae, walipokuwa kwenye sytem tuliwaambia tengenezeni katiba Bora ili siku mkiwa raia baada ya mfumo kuwatupeni itakusaidieni wakaweka pamba Leo wamekuwa raia nao wanalia.
Afrika mfumo ukishakutupa huna chako waweza fanywa chochote na waliopo kwenye mfumo hivo hivo.
 
Sawa, iwe walitoa pendekezo au taarifa, ila nia ya kumfukuza ilishatolewa so hata yeye kwa maneno yake alilitamka hilo na kulibishia coz alisema taratibu hazikufuatwa. Angejitoa kabla ya kamati kuu kusema maazimio yao ya kumfukuza ingekuwa sahihi sana.
Ebu tusaidie basi, habari ya kufukuzwa we umeanza kuisikia leo?
 
Ccm sio kama Chadema . Ccm ni mali ya wanaCcm.
Aaah wapi,kapinge mawazo ya mmliki wa Sasa ujikute coco au segerea, kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi Hadi sacooss ya mtu mmoja apangae Nani apite Nani asipite, wahamiaji wote ni lzm wapite,nyie mtaendelea kusugua Sana mabenchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…