misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Kalaghabao shauri ya bimaWanamfukuza mtu ambaye tayari alisharudisha kadi na sio mwanachama wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalaghabao shauri ya bimaWanamfukuza mtu ambaye tayari alisharudisha kadi na sio mwanachama wao?
Ndugu mwenye ufinyu wa kuelewa historia ya siasa nchini kwetu ni wewe. Kwanza hujui kinana alivyoweza kufika hapa alipifikia. Kinana amelelewa kisiasa na Marehemu Mwalimu Nyerere, yeye ndiye aliyekuwa Mentor wake, na ndiye alifanya juhudi ya Kinana kupewa unaibu waziri awamu ya ya mzee mwinyi, na baadaye akawa waziri wa ulinzi, wakati wote huo Nyerere yuu Hai. Hata aliyemfanya kuwa campigner kwenye uchaguzi wa mkapa alikuwa Nyerere.
Ulizia wamjuaye Kinana alikuwa kipenzi cha nyerere. Hata Makongoro alipokuwa anaishi Arusha alikuwa akimtania kuwa Baba yake anampenda Kinana zaidi ya Makongoro
Wasanganye ndio nini?Wasanganye wakuja
WadanganyeWasanganye ndio nini?
Angekua mhusika sio yeye ungekuja mtuhumiwa keshapigwa mialka 40 jelaGoogle imejibu ni yesu fake wa chato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmesahau kuwa alikuwa anasema halmashauri kuu haikulidhia kufukuzwa kwake?Washamba sana
Lowasa karudi CCM ili apate nini? kesho ikitoka madarakani?
Wanaifufua kikiWanamfukuza mtu ambaye tayari alisharudisha kadi na sio mwanachama wao?
Mambo yetu wana CCM yanakuhusu nini wewe?? Huo ulikuwa utaratibu wa kichama, mtu hufukuzwa/kupewa onyo kwa CC kupeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu.Pale unapofukuzwa kazi ikiwa tayari umeshaacha kazi. Only in Tanzania.
Nani alikwambia sumu alipewa akiwa meza kuu?Tunagoogle kujua nani alimpa sumu mangula kule meza kuu[emoji16][emoji16]View attachment 1502858
Membe alikuwa anasubiri maamuzi ya halmashauri kuu ya CCM kabla hajaamia chama cha upinzani!
Spika cd4 zinamletea shida,msamehe bureSpika mbona amesema hatambui kufukuzwa kwa membe.
Wewe ni mjinga kabisa tena wakutupa. Hivi ukipanda Air Tanzania au Bus la kutoka popote na zikakutwa maboxi ya Dawa za kulevya, huo mzigi utakuwa wa Air Tanzania na au mwenye bus, maana mwenye mali ataukana lazima.Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!
Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo
Acha kufanya watu wajinga, unasikia.. Kinana hana usafi wowote, acha uongo huo, Mwenyekiti & NEC imeamua kumsamehe tu..
Wewe ni mjinga kabisa tena wakutupa. Hivi ukipanda Air Tanzania au Bus la kutoka popote na zikakutwa maboxi ya Dawa za kulevya, huo mzigi utakuwa wa Air Tanzania na au mwenye bus, maana mwenye mali ataukana lazima.
Mbona mnafungia macho, containers zilipitishwa na wafanyikazu wa customs, tena zilipita kwenye xray, wahusika walipatikana na wakachiliwa na polisi. Bado mnataka kumbambikiza kesi mzee wa watu.
Mbona Msigwa aliposhindwa kuotoa ushahidi kaomba msamaha.
Ndugu kwanza kubali ufutwe matongo ile uweze kuona vizuri, you r currently blinded with ignorance. There is a saying, A FOOL WHO DOESNT know HE IS A FOOL is THE MOST DANGEROUS PERSON, please dont lead yourself to that category.Huna adabu ww, stupid, pumbaf ww, mjinga ni ww, unataka kusafisha watu wanaojulikana, acha upuuzi, hizo story zako kawaambie wajinga wenzio who can't think like you, brainless, unamwongelea mtu unatufanya hajulikani, stop that nosense, arrogant, extremely foolish. Narudia, usifikirie watu wote wapuuzi like you, hooligan, hizo story zako waambie wapuuzi wenzako, of the same calibre & foolishness, ulizia Green Miles kampuni ya uwindaji imefungwa almost a year now ilikuwa ya nani, na nini hasa ilikuwa inafanya. Acha ujinga
Two Britons colliding in the tube.Ndugu kwanza kubali ufutwe matongo ile uweze kuona vizuri, you r currently blinded with ignorance. There is a saying, A FOOL WHO DOESNT know HE IS A FOOL is THE MOST DANGEROUS PERSON, please dont lead yourself to that category.
Hiyo Kampuni ya Loliondo sio yake na wenyewe wanajulikana, unajua information usizonazo kikamilifu alafu ukajifanya mjuaji zinaumiza sana watu.Do your research diligently na usikurupuku na story za vijiweni na kuwabambikiza watu na mambo yasio na ukweli.
Hivyo unajiona wewe ni msafi, hadi uwasingizie watu wanasafishwa.
Stop being a chokora and using all bad words is a few sentences. If you cannot stand the heat get out of the kitchen.
SLEEP WELL
Asante kwa kushiriki mwenye CCM.Mambo yetu wana CCM yanakuhusu nini wewe?? Huo ulikuwa utaratibu wa kichama, mtu hufukuzwa/kupewa onyo kwa CC kupeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu.