Abdulrahman Kinana asamehewa, Bernard Membe afukuzwa rasmi CCM


Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

Acha kufanya watu wajinga, unasikia.. Kinana hana usafi wowote, acha uongo huo, Mwenyekiti & NEC imeamua kumsamehe tu..
 
Pale unapofukuzwa kazi ikiwa tayari umeshaacha kazi. Only in Tanzania.
Mambo yetu wana CCM yanakuhusu nini wewe?? Huo ulikuwa utaratibu wa kichama, mtu hufukuzwa/kupewa onyo kwa CC kupeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu.
 
Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

Acha kufanya watu wajinga, unasikia.. Kinana hana usafi wowote, acha uongo huo, Mwenyekiti & NEC imeamua kumsamehe tu..
Wewe ni mjinga kabisa tena wakutupa. Hivi ukipanda Air Tanzania au Bus la kutoka popote na zikakutwa maboxi ya Dawa za kulevya, huo mzigi utakuwa wa Air Tanzania na au mwenye bus, maana mwenye mali ataukana lazima.

Mbona mnafungia macho, containers zilipitishwa na wafanyikazu wa customs, tena zilipita kwenye xray, wahusika walipatikana na wakachiliwa na polisi. Bado mnataka kumbambikiza kesi mzee wa watu.

Mbona Msigwa aliposhindwa kuotoa ushahidi kaomba msamaha.
 

Huna adabu ww, stupid, pumbaf ww, mjinga ni ww, unataka kusafisha watu wanaojulikana, acha upuuzi, hizo story zako kawaambie wajinga wenzio who can't think like you, brainless, unamwongelea mtu unatufanya hajulikani, stop that nosense, arrogant, extremely foolish. Narudia, usifikirie watu wote wapuuzi like you, hooligan, hizo story zako waambie wapuuzi wenzako, of the same calibre & foolishness, ulizia Green Miles kampuni ya uwindaji imefungwa almost a year now ilikuwa ya nani, na nini hasa ilikuwa inafanya. Acha ujinga
 
Jamaa kawa time.la sivyo uyu mzee alitaka am dhalilishe.. sema Tamko lake lisha isha nguvu
 
Wapinzani msimpe Membe kugombea urais bila kupingwa.

Kama anajiunga upinzani kwa nia safi atajiunga kama mwanachama wa kawaida, na akitaka kugombea atakubqli pambanishwe kihalali na wagombea wengine wote.

Msiende kumuomba kugombea.
 
Ndugu kwanza kubali ufutwe matongo ile uweze kuona vizuri, you r currently blinded with ignorance. There is a saying, A FOOL WHO DOESNT know HE IS A FOOL is THE MOST DANGEROUS PERSON, please dont lead yourself to that category.

Hiyo Kampuni ya Loliondo sio yake na wenyewe wanajulikana, unajua information usizonazo kikamilifu alafu ukajifanya mjuaji zinaumiza sana watu.Do your research diligently na usikurupuku na story za vijiweni na kuwabambikiza watu na mambo yasio na ukweli.

Hivyo unajiona wewe ni msafi, hadi uwasingizie watu wanasafishwa.

Stop being a chokora and using all bad words is a few sentences. If you cannot stand the heat get out of the kitchen.

SLEEP WELL
 
Two Britons colliding in the tube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…