Abdulrahman Kinana asamehewa, Bernard Membe afukuzwa rasmi CCM

Tano atapongezwa sana baada ya kumaliza kazi aliyotumwa.
 

Tatizo sio Katiba.

Katiba inasema kila raia ana haki ya faragha.

Mbona tunadukuliwa ????

Hiyo Katiba mpya itatumia lugha gani ili ieleweke, iwe enforced, iseme nini hiyo Katiba?
 
Yaani hicho kichwa cha HABARI ukiingia kichwa kichwa unatoka na matango pori....
 
Mwenye nguvu mpishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…