Maana yake mmewanunua ili wawe mazuzu sababu za ruzuku ambayo haki yao kisheria ? Mwisho wa Kinana kufikiri ndio hapo ?Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.Maana yake mmewanunua ili wawe mazuzu sababu za ruzuku ambayo haki yao kisheria ? Mwisho wa Kinana kufikiri ndio hapo ?
Thamani ya magari mapya ya msafara wa makonda ni bei gani?..ukiona Chadema wamelipwa bilioni basi ujue CCM wamepata trillioni.
..msifikiri ipo siku CCM wataruhusu chama chochote kiwe na fedha au rasilimali kuliko wao.
Kwani wqliweka wazi maridhiano ? Kuna mengi sana walikubaliana na imekuwa siri yao only....Mzee Kinana ameropoka kwa sababu zake...labda blackmail ....kwa CDM!Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
Huyu mzee naye aache siasa arudie kazi yake ya ujangili maana idadi ya tembo imeongezeka sana hadi wanakuwa kero kwa binadamuMaana yake mmewanunua ili wawe mazuzu sababu za ruzuku ambayo haki yao kisheria ? Mwisho wa Kinana kufikiri ndio hapo ?
Kwani wqliweka wazi maridhiano ? Kuna mengi sana walikubaliana na imekuwa siri yao only....Mzee Kinana ameropoka kwa sababu zake...labda blackmail ....kwa CDM!
Haiji kwa bahati mbaya... Mbowe kaamua kukataa baadhi ya Mambo yao na wawo wanaamua kuanika usiri wa hayo maridhiano...Kwani wqliweka wazi maridhiano ? Kuna mengi sana walikubaliana na imekuwa siri yao only....Mzee Kinana ameropoka kwa sababu zake...labda blackmail ....kwa CDM!
Haiji kwa bahati mbaya... Mbowe kaamua kukataa baadhi ya Mambo yao na wawo wanaamua kuanika usiri wa hayo maridhiano...
Huelewi nini?, Hizo pesa chama walitoa taarifa lini kuzipokea ikiwa Mara ya mwisho chama kilisema hakitachukua ruzuku kwa serikali iliyoingia kwa wizi na dhuruma!. Hii umekuja baada ya maridhiano kubuma.... Kuna tatizo na wizi ww pesa hizi.....Kama tunataka uwazi basi tuombe taarifa za ruzuku ktk vyama vyote sio kutaka ya Chadema peke yao.
Ruzuku ni haki ya CDM kumbuka Kinana mwenyewe alikiri 2020 haukuwa uchaguzi wa haki.Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.