Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

..mambo ambayo Ccm wameyakataa ktk maridhiano ni yapi?

..kwanini hakuna uwazi ktk jambo hili?
Aliyepaswa kutoa uwazi ni Mbowe kwa chama na umma!, Hajafanya hivyo na ilibaki kuwa Siri take Kwanini?. Ni lini chadema wamesema wameanza kupokea ruzuku kwa serikali toka kauli y mwanzo.
 
Hizi habari wenyewe hawawezi kuziweka public,ni wanafiki balaa.

Zile za kukataa ruzuku wanaita press halafu wakivuta wana-mute.

Ndiyo maana kilichomo kwenye maridhiano ni siri na si ajabu na Chiba keshavuta chake.
 
Ruzuku ni haki ya CDM kumbuka Kinana mwenyewe alikiri 2020 haukuwa uchaguzi wa haki.
Kuna mahali nimesema sio haki!, Issue hapa hili limeibuka baada ya maridhiano kuvurugika na chama kilikataa hadharani hakitachukua ruzuku kwa serikali amabyo haikuchaguliwa na umma!. Ruzuku imetoka Kama sehem ya maridhiano kwasababu chadema waliikata kabla.
 
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
Wewe na mbowe mwenye makandokando ni Nani?
Mwenzio mbowe ni mfanyabiasha Toka Enzi za Nyerere tofauti na wewe unaishi Kwa kuomba omba
 
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.

Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.

Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Hizo pesa ni MALI YA WALIPA KODI....SIO HISANI

Wadanganyeni MAZUZU

Chadema ni Halali yao ....Payee ya Mshahara wangu INAHUSIKA
 
Wewe na mbowe mwenye makandokando ni Nani?
Mwenzio mbowe ni mfanyabiasha Toka Enzi za Nyerere tofauti na wewe unaishi Kwa kuomba omba
Una tatizo la utindio wa ubungo!, Umeelewa hata nilichokiandika au umejibu kwasababu unajua kusoma tu....!! Punguza utahira. M.fucvk
 
Na ccm wamelipwa kiasi gani?
Mbona huwa ruzuku inayoongelewa ni ya wachumia tumbo wa chadema tu na sio majambazi ya ccm na wengineo?
 
Haya ndio Mambo amabayo mbowe hakutaka kuyaweka wazi wakati wa maridhiano!!, Ona wanavyomuumbua Sasa!, Ni aibu kuwa na kiongozi ambaye sio muwazi katika Mambo ya umma!.
Kwani ruzuku imekuwa ni hongo ?
 
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.

Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.

Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Kwa hiyo Kinana ndio msemaji wa serikali, waziri wa fedha, mkuu wa hazina au msemaji wa CHADEMA?
 
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.

Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.

Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Kwa hivyo Serikali na CCM waliamini kuwa ruzuku yao hao ni fadhila?

Tunahitaji kuona viongozi wa kitaifa wakizungumzia masuala mtambuka ya kitaifa.

Habari za ruzuku na manunuzi ya wanasiasa waachie akina Lucas mwashambwa 😅

Kinana ashafilisika kifikra
 
Kama yanamanufaa kwa Nchi Kwanini mbowe asiyaseme?, Mnatetea Jambo ambalo linajitetea... Kama chama kipo kwa maslah ya umma kulikuwa na haja gani wasiweke wazi yaliyojadiliwa? ... CCM hawawezi kuweka wazi tunajua, mbowe kwann asiyaweke wazi na ndani ya chama n yeye tu ndio anayajua kwann?.
..pia kwanini CCM hawaelezi mambo waliyoyakataa ktk maridhiano?

..mimi nahisi wanaogopa kusema walikata nini kwasababu huenda ni mambo yenye manufaa kwa wananchi.

Kwani ruzuku imekuwa ni hongo ?
Kwani kabla chama sikilikataa kuchukua ruzuku kwa serikali ambayo haikushinda uchaguzi?, Taarifa zakuanza kuchukua ruzuku zimetolewa lini?.
 
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
Mbona wewe huwa una unakwenda Mombasa kutembelea waarabu na tumekuhifadhi ingawa huwa hatujui kazi unayowafanyia hao waarabu Hadi wanachekelea na haya siyo makandokando Yako?
 
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.

Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.

Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Kinana ni muwindaji haramu wa pembe za ndovu, siasa ni geresha tu
 
Maana yake mmewanunua ili wawe mazuzu sababu za ruzuku ambayo haki yao kisheria ? Mwisho wa Kinana kufikiri ndio hapo ?
Kinana anawaza kuua tu tembo wetu, meno na pembe akauze China 🇨🇳
 
Mbona wewe huwa una unakwenda Mombasa kutembelea waarabu na tumekuhifadhi ingawa huwa hatujui kazi unayowafanyia hao waarabu Hadi wanachekelea na haya siyo makandokando Yako?
Unanitangazia biashara zako za mombasa?, Bi mdogo wa mbowe kaa kwakutulia tuhoji utapeli wa mmeo mbowe!.
 
Ndiyo maana DJ amemalizia lile jumba lake kule moshi.

Nyumbu wameachwa wakipiga mayowe ya njaa
 
Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.

Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.

Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Sawa, kwahio shida iko wapi? Yaani unataka kusema nini?
 
Kwa hivyo Serikali na CCM waliamini kuwa ruzuku yao hao ni fadhila?

Tunahitaji kuona viongozi wa kitaifa wakizungumzia masuala mtambuka ya kitaifa.

Habari za ruzuku na manunuzi ya wanasiasa waachie akina Lucas mwashambwa 😅

Kinana ashafilisika kifikra
Mheshimiwa makamu wetu alikuwa anaweka ukweli wa mambo yote ili kuondoa upotoshaji ambao umekuwa ukifanywa na CHADEMA wapenda Ruzuku.
 
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.

Acha upotoshaji wa kijinga, sio mara Moja au 2 cdm wameweka wazi kupatiwa hiyo ruzuku, na viongozi wa cdm wakawa wanatoa ufafanuzi kwa wanachama wake kama sehemu ya kuwaplease kuwa maridhiano yana maana. Ifahamike wafuasi wengi wa cdm hawana imani na hayo maridhiano, Wala hawayataki.
 
Back
Top Bottom