Kama yanamanufaa kwa Nchi Kwanini mbowe asiyaseme?, Mnatetea Jambo ambalo linajitetea... Kama chama kipo kwa maslah ya umma kulikuwa na haja gani wasiweke wazi yaliyojadiliwa? ... CCM hawawezi kuweka wazi tunajua, mbowe kwann asiyaweke wazi na ndani ya chama n yeye tu ndio anayajua kwann?.
Kwani kabla chama sikilikataa kuchukua ruzuku kwa serikali ambayo haikushinda uchaguzi?, Taarifa zakuanza kuchukua ruzuku zimetolewa lini?.
..tuwahoji Ccm na Chadema.
..kwanza wamekubaliana nini.
..pili wamepishana ktk nini.
NB:
..Mzee Kinana aeleze CCM inapokea trillion ngapi kama ruzuku.