Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kama yanamanufaa kwa Nchi Kwanini mbowe asiyaseme?, Mnatetea Jambo ambalo linajitetea... Kama chama kipo kwa maslah ya umma kulikuwa na haja gani wasiweke wazi yaliyojadiliwa? ... CCM hawawezi kuweka wazi tunajua, mbowe kwann asiyaweke wazi na ndani ya chama n yeye tu ndio anayajua kwann?.
Kwani kabla chama sikilikataa kuchukua ruzuku kwa serikali ambayo haikushinda uchaguzi?, Taarifa zakuanza kuchukua ruzuku zimetolewa lini?.
Kwa taarifa yako huo Uzi wa cdm kukiri kuwa wamelipwa malimbikizo ya ruzuku Yao uko humu humu, na watu tuliponda sana hayo maridhiano uchwara. Na mmoja ya watu waliokiri kulipwa hayo malimbikizo ya ruzuku ni Tundu Lisu kwenye kipindi Cha medani za siasa kinachorushwa na Star TV.