Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliamini ndiyo watakuwa wamewanunua kama ACTKwa hiyo kama amewapa haki yao mnataka watulie mpitishe sheria mbovu mbofu
Je kwa kipindi hicho hicho CCM wamelipwa ngapi? Na Kwanini Kinana hasemi Pesa za CCM? Kweli aliyechota bilioni 50 anashangaa chadema kupata bilioni tatu?Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Kama hawatakia mbona Lissu na mzee mbowe wanalalama?
Je kwa kipindi hicho hicho CCM wamelipwa ngapi? Na Kwanini Kinana hasemi Pesa za CCM? Kweli aliyechota bilioni 50 anashangaa chadema kupata bilioni tatu?
Angalia gapa chini
1. CCM
Chama cha Mapinduzi hupokea ruzuku ya shilingi za kitanzania bilioni 1.33 kila mwezi. Kwa hesabu za haraka haraka mpaka sasa miaka 3 baada ya uchaguzi CCM wameshapokea shilingi Bilioni 47.88
2. CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo hupokea ruzuku ya shilingi za kitanzania Milioni 109.68 Kila mwezi.Mpaka sasa miaka 3 baada ya uchaguzi wameshapokea shilingi Bilioni 3.8.
3. ACT
Chama cha ACT wazalendo hupokea ruzuku ya shilingi za kitanzania Milioni 14 Kila mwezi. Mpaka sasa miaka 3 baada ya uchaguzi mkuu wamepokea shilingi Milioni 504
Mzee Kinana ni jangiri mkubwaTumewachoka na ngonjera zenu Msigwa alimuomba msamaha kwa hiyo Kinana hausiki na kashfa hiyo
Hii ni haki ya CDM na siyo hisani ya CCMChadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Huku kwetu tembo wamepungua snMzee Kinana ni jangiri mkubwa
Weww uliluwa unajua kama Chadema walipokea ruzuku ambayo mwanzo walisema hawataki kuchukua ?..tofauti ni kwamba Ccm wanapokea ruzuku mara 10++ zaidi ya Chadema
Mnaishambulia Chadema kwa kupokea ruzuku iliyo haki yao kisheria, jiulizeni Ccm wamepokea kiasi gani mpaka sasa.Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
1). Je, ccm wamekueleza wamelipwa ruzuku kiasi gani?Haya ndio Mambo amabayo mbowe hakutaka kuyaweka wazi wakati wa maridhiano!!, Ona wanavyomuumbua Sasa!, Ni aibu kuwa na kiongozi ambaye sio muwazi katika Mambo ya umma!.
Jibu Jambo ukiwa umeelewa sio kwasababu unajua kusoma!.1). Je, ccm wamekueleza wamelipwa ruzuku kiasi gani?
2). Je, Chadema hawana haki ya kupokea ruzuku?
Huo ugoro ulioandika ni chawa wenzio tu wanaweza kuelewaJibu Jambo ukiwa umeelewa sio kwasababu unajua kusoma!.
Kama hujaelewa umejibu vipi?, Au ushachomekewa hogo la mbowe?.Huo ugoro ulioandika ni chawa wenzio tu wanaweza kuelewa
Rubbish!Kama hujaelewa umejibu vipi?, Au ushachomekewa hogo la mbowe?.
Umeelewa Sasa.Rubbish!
Kwa hiyo ruzuku ilikuwepo ila CHADEMA waliikataa, lakini ikawa haipo kwenye bajeti !Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.