Ndyali
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,678
- 971
Usihofu huko hakuna kazi ngumu zaidi ya kula kwa urefu wa kamba yako! Mama anatuonya tu kwamba tusile na kuvimbiwa.Aaah siyo mambo yangu hayo kabisa. Hata ukatibu kata siuwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu huko hakuna kazi ngumu zaidi ya kula kwa urefu wa kamba yako! Mama anatuonya tu kwamba tusile na kuvimbiwa.Aaah siyo mambo yangu hayo kabisa. Hata ukatibu kata siuwezi.
Aaah siyo mambo yangu hayo kabisa. Hata ukatibu kata siuwezi.Who knows, usishangae Lukas Mwashambwa au FaizFoxy anauramba umakomo Mwenyekiti wa CCM, maana siku hizi UCHAWA unalipa sana.
KumekuchaView attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
MkuuMzee MABENDERA 😁
Upinzani labda CCM B ila sio huu wa chadema na washirika wake hakuna presidential material kwenye vyama tajwa hapo juu na walivyo na visasi sijaona wakipewa nchi kwa sasaNakumbuka baada ya mtawala mwanamke nchi itaenda upinzani. Tusubiri
Utabebwa na kuwezeshwa kama walivyowezeshwa wengine.Aaah siyo mambo yangu hayo kabisa. Hata ukatibu kata siuwezi.
KARIBU kwenye Uzi mwendekezo kule kuna jamboMkuu
Sema Neno Upepo Unavuma Kilometres Ngapi Kwa Saa Huko CCM
🤣🤣🤣🤣Msigwa anakuwa Makamu Mwenyekiti
KumekuchaPamoja na "shenanigans" za CCM, ukweli unabaki kuwa ukweli.
Wasaidizi wengi sana wa Rais Samia hawamkubali tokana na uwezo wake, na kwa kweli hili sio dhambi wala sio jinai.
Viongozi hawa ni ndugu zetu, wanaongea nasi ukweli toka mioyoni mwao mara kwa mara tunapokuwa kwenye mazungumzo nao.
Unafiki wetu mkubwa ndio unatufanya tuendelee na kazi na kumsifia.
Unamaanisha rais ndio apige chepe?! Si ndio maana akawa na wasaidizi. Rais ni taasisiPamoja na "shenanigans" za CCM, ukweli unabaki kuwa ukweli.
Wasaidizi wengi sana wa Rais Samia hawamkubali tokana na uwezo wake, na kwa kweli hili sio dhambi wala sio jinai.
Viongozi hawa ni ndugu zetu, wanaongea nasi ukweli toka mioyoni mwao mara kwa mara tunapokuwa kwenye mazungumzo nao.
Unafiki wetu mkubwa ndio unatufanya tuendelee na kazi na kumsifia.
Wewe wa kwako ni 'Chura Kiziwi' tu basi, wengine wote hawawezi?Upinzani labda CCM B ila sio huu wa chadema na washirika wake hakuna presidential material kwenye vyama tajwa hapo juu na walivyo na visasi sijaona wakipewa nchi kwa sasa