Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumekucha
 
Pamoja na "shenanigans" za CCM, ukweli unabaki kuwa ukweli.

Wasaidizi wengi sana wa Rais Samia hawamkubali tokana na uwezo wake, na kwa kweli hili sio dhambi wala sio jinai.

Viongozi hawa ni ndugu zetu, wanaongea nasi ukweli toka mioyoni mwao mara kwa mara tunapokuwa kwenye mazungumzo nao.

Unafiki wetu mkubwa ndio unatufanya tuendelee na kazi na kumsifia.
 
Kumekucha
 
Unamaanisha rais ndio apige chepe?! Si ndio maana akawa na wasaidizi. Rais ni taasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…