Abdulrahman Mpakanjia Chifupa: Tuiamini tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kiongozi mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), ambaye pia ni mtoto wa marehemu Amina Chifupa, amewataka Watanzania kuweka pembeni ubinafsi na kuiamini Tume ya Uchunguzi wa matukio ya kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili kubaini chanzo na kupata suluhu ya changamoto zinazolikabili taifa.

"Mimi naamini kwa jambo la Rais kuunda ile Tume ya uchunguzi ni jambo la kwanza na la muhimu, na hata Tume kukutana na watu mbalimbali ndio njia yenyewe ya kupata muafaka." Amesema Abdulrahman Mpakanjia Chifupa

Afisa Mtendaji wa Kata - wakati wa uchaguzi/uchafuzi wanakuwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi/uchafuzi atasema nini lingine zaidi ya hayo?
 
Kuna yule sijui m_bunge naona anawazo

Kuwa waanchi wameuana , kuna kikundu kilivamia vtuo vya polis kuiba slaa na kusababisha mauaj
 
Eti kiongozi wa Elimu ya juu.!!! upuuzi mtupu. Yaani mpk polisi na jeshi zinajiandaa kutoa bunduki , risasi na serikali inazima interner watu wauawe hawakuwa wanajua chochote. Anatokea msomi kitambi eti tusubiri tume.
matako yako
 
Dogo mama alikua mbunge kwa tiketi ya CCM.

TAHLISO serves interests za CCM.

Dogo ni WEO.

Kwanini mnashangaa haya maoni?
 
Back
Top Bottom