Kweli nimeamini watoto hurithi akili za mama zao.Pamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa![]()
- aka2030
- hana mtoto mtoto wa
- Replies: 121
- Forum: Jukwaa la Siasa
Afisa Mtendaji wa Kata - wakati wa uchaguzi/uchafuzi wanakuwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi/uchafuzi atasema nini lingine zaidi ya hayo?
Lazima uzeeke tu. Kama umekubali kutumiwa tangu uko uvccm! kuolewa huolewi! Wewe ni kuchezewa tu na vigogo wa chama! Ulitegemea nini?Kweli nimezeeka,huyo dogo kiongozi mstaafu wa wanachuo!?
Ni Afisa Mtendaji wa Kata.Huyo mtoto kakua lini na kuanza kuzungumzia mambo makubwa ya watanzania?
Vaa kijora cha ruwaichi moyo upate hewa upoe ndugu yanguLazima uzeeke tu. Kama umekubali kutumiwa tangu uko uvccm! kuolewa huolewi! Wewe ni kuchezewa tu na vigogo wa chama! Ulitegemea nini?
Na siku utakapoacha kutumia hayo mawigi yako, mikorogo na make up usoni ndiyo utagundua ni kwa namna gani umekuwa kikongwe!
Kwani hujui duniani tunapita. Anza kuandika wosia mkuu.Kweli nimezeeka,huyo dogo kiongozi mstaafu wa wanachuo!?
Siasa kama laana. Nae keshajiingiza huku?Kiongozi mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), ambaye pia ni mtoto wa marehemu Amina Chifupa, amewataka Watanzania kuweka pembeni ubinafsi na kuiamini Tume ya Uchunguzi wa matukio ya kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili kubaini chanzo na kupata suluhu ya changamoto zinazolikabili taifa.
"Mimi naamini kwa jambo la Rais kuunda ile Tume ya uchunguzi ni jambo la kwanza na la muhimu, na hata Tume kukutana na watu mbalimbali ndio njia yenyewe ya kupata muafaka." Amesema Abdulrahman Mpakanjia Chifupa
Mkuu kwani hii chawa ni ke?!Lazima uzeeke tu. Kama umekubali kutumiwa tangu uko uvccm! kuolewa huolewi! Wewe ni kuchezewa tu na vigogo wa chama! Ulitegemea nini?
Na siku utakapoacha kutumia hayo mawigi yako, mikorogo na make up usoni ndiyo utagundua ni kwa namna gani umekuwa kikongwe!