Kiongozi mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), ambaye pia ni mtoto wa marehemu Amina Chifupa, amewataka Watanzania kuweka pembeni ubinafsi na kuiamini Tume ya Uchunguzi wa matukio ya kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili kubaini chanzo na kupata suluhu ya changamoto zinazolikabili taifa.
"Mimi naamini kwa jambo la Rais kuunda ile Tume ya uchunguzi ni jambo la kwanza na la muhimu, na hata Tume kukutana na watu mbalimbali ndio njia yenyewe ya kupata muafaka." Amesema Abdulrahman Mpakanjia Chifupa
Alikuwa anaongea kama hana magego halafu ni mtu mzima tu.Kuna yule sijui m_bunge naona anawazo
Kuwa waanchi wameuana , kuna kikundu kilivamia vtuo vya polis kuiba slaa na kusababisha mauaj
Atajiliza kwa kudeka na kusema umemnyanyapaa.😛😛😛Huyu mtoto aache upumbavu hii sio level yake...apambane na obesity kwanza....
Hii mikuku mayai ya namna hii huwa mipuuzi sana....
Amejua pa kuanzia, akiendeleq kujipendekeza soon utasikia mkuu wa wilaya/mkoa ama mbunge/waziriPamoja na umaarufu utajiri na network ya wazazi wake ameamua kufanya kazi ya kawaida kabisaa
- aka2030
- hana mtoto mtoto wa
- Replies: 121
- Forum: Jukwaa la Siasa
Afisa Mtendaji wa Kata - wakati wa uchaguzi/uchafuzi wanakuwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi/uchafuzi atasema nini lingine zaidi ya hayo?
Hivi anafahamu kuwa kifo cha mama yake ni attributable kwa ufisadi wa CCM?Huyo mtoto angekaa kimya yasijempata ya wasanii.Maisha yake lainilaini na murua hawezi kuwasemea wavuja jasho na walioumizwa na watawala dhalimu.He's to draw his own boundaries for the sake of his protruded nose.
Wanamuweka jirani nao ili kumzubaisha asiijue dunia na vimbwanga vyake.Akija kushtuka,kama anayo akili njema,ataikuta dunia imeshakuwa gunia.Hivi anafahamu kuwa kifo cha mama yake ni attributable kwa ufisadi wa CCM?
Kumbe umeomuonaAlikuwa anaongea kama hana magego halafu ni mtu mzima tu.