Abdulrahman Mpakanjia Chifupa: Tuiamini tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29

Huyo mtoto kakua lini na kuanza kuzungumzia mambo makubwa ya watanzania?
 
Kweli nimezeeka,huyo dogo kiongozi mstaafu wa wanachuo!?
Lazima uzeeke tu. Kama umekubali kutumiwa tangu uko uvccm! kuolewa huolewi! Wewe ni kuchezewa tu na vigogo wa chama! Ulitegemea nini?

Na siku utakapoacha kutumia hayo mawigi yako, mikorogo na make up usoni ndiyo utagundua ni kwa namna gani umekuwa kikongwe!
 
Vaa kijora cha ruwaichi moyo upate hewa upoe ndugu yangu
 
Siasa kama laana. Nae keshajiingiza huku?
 
Pimbi imenona hii
ila sidhani km kichwani kuna kitu!
 
Mkuu kwani hii chawa ni ke?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…