Abdulrahman Musa mfungaji bora wa VPL asema Mayanga ni muongo

Abdulrahman Musa mfungaji bora wa VPL asema Mayanga ni muongo

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Mshambuliaji wa Ruvu shooting na mfungaji bora wa ligi ya Tanzania bara 2016/2017 Abdulrahman Mussa amemjibu kocha wa Taifa stars kuwa hayupo sahihi kama alivyosema Jana kwenye utetezi wake dhidi ya kashfa ya upendeleo anaoufanya kwenye kuita na kuchagua kikosi.Kocha Mayanga alisema jana kuwa Abdulrahman Musa alikuwa mgonjwa hivyo alikuwa hamtumii lakini taarifa hizo zimemstua mshambuliaji huyo wa Ruvu shooting nakusema hizo taarifa ni za uongo na labda Mayanga angetoa sababu zingine kama hafai kwenye mfumo wake au sababu zingine lakini sio kumsingizia kuwa alikuwa mgonjwa.

bd14ed3902ab01bbb50c83d17f431252.jpg


Hivi karibuni kocha wa Taifa stars amekuwa akilalamikiwa kuwa na upendeleo katika kuita wachezaji na upangaji wa kikosi wengi wanadai mwalimu huyu anapendelea kuwatumia wachezaji wa klabu moja kongwe hapa nchini licha baadhi ya wachezaji hao kuonekana hawana sifa au uwezo wa kuanza.
 
Wapi hao ww unawaona wanapewa nafac kutoka klabu hiyo kongwe na gawawstahili na ninani unadhani wamenyimwa nafasi wanastahili tuwekee hapa acha porojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayanga kanjanja wa soka...inabidi tutafute kocha kutoka nchi za kiarabu..Tunisia.Misri.Morocco au Algeria tutapiga hatua
 
Si mtaje hao wanaostahili wadau. Kwani wachezaji wangapi wa simba wako stars. Kikosi naona kimejaa wachezaji wa Azam.
 
Simba Stars na Akili mbovu za Mashabiki wa Yanga.....
1:Kakolanya....Huyu aliitwa ila amekuwa majeruhi na pia asingeweza kuchukua namba mbele ya Manula.
2:Juma Abduli....ni mzuri ila uwezo wake kwa sasa umeshuka sana huwezi kumlinganisha na kapombe....
3:Hajji mwinyi....Yanga wenyewe hawamwamini ndio maana wanataka kumsajili Gadiely michael sasa kama nyie Yanga hamumuamini kijana wenu mnataka mayanja amwamini...?
4:Yondani....Jamaa ameshuka kiwango huwezi kumuacha Nurdin chona....Salum Mbonde na Erasto nyoni kwa ajili ya Yondani
5:Canavaro....Amestafu timu ya Taifa angekuepo nadhani hata mimi ningegundua matatzo ya mayanja.
6:Makapu....Kama ameachwa mkude Ndemla kaitwa juzi na hajatumiwa mnataka Makapu aitwe wakati kiungo bora wa chini ambaye ni mkude kaachwa....akili zenu mbovu
7:Mwashiuya....Unaanzaje kumuita mchezaji anayesugua benchi ukamuacha mtu kama Kichuya...?
8:Emmanuely martini....Yanga anasugua Benchi timu ya nani ya Taifa inayowaita wasugua Benchi..?
9:Kaseke....huyu kijana ni mchezaji mzuru sana lkn amemuharibu Lwandamila kwa kumsugilisha Benchi
10:Matheo Antony....Yanga wenyewe mnajua kuwa huyu ni Garasa
11😛ato Ngonyani.....Yanga wenyewe mnamtema je mnataka Mayanga amuite timu ya Taifa amuache mzamiru Yassin
12:Ibrahimu Ajibu....Ameachwa akiwa bado yupo Simba
.....Hv nyie vyura Mkude....Ndemla na Mo Ibrahimu wangekuwa wachezaji wenu alafu waachwe c Mungemuua Kocha nyie.....
Mnataka tuwaite Chirwa...Ngoma...Bosou...Tambwe na Twite..?
Acheni fikra mgando nyie Gongowazi.
 
Back
Top Bottom