Mbona kwenye mathayo wameonesha uzao pale hadi kupatikana YesuSwali jepesi sana.iko hivi
Adam na hawa hawakuwa watu halisi kama tulivyo mimi na wewe bali yalikuwa ni majina ambayo yalitumika kuwakilisha makundi ya watu.so Adam alikuwa anawakilisha wanaume na hawa alikuwa anawakilisha wanawake.lengo la kitabu cha mwanzo ni kuonyesha historia ya binadamu so isingewezekana kuzungumziwa namna kila mtu alivyopatikana so yakachaguliwa majina mawili ili yawe vielelezo au kuwakilisha makundi hayo ya watu.ukisoma vizuri kitabu chenyewe kinajieleza mfano habari ya nyoka kuongea unaona kabisa kwamba No kitu ambacho hakileti maana.so mwandishi wa kitabu kile alitumia majina ya adamu na hawa kwa maana hizo.mfano mzuri ni hadithi za sungura na fisi ambazo hutumia majina hayo kuwakilisha watu halisi.
Wapi katika biblia imeelezwa?Adam na hawa walisimama kwa niaba haina maana kwamba kulikuwa hakuna watu wengine.
Nafikiri hili ndio jibu harisi. Kwasababu ifuata biblia imeeenda mpka kuwapachika wayahudi, na Yesu wa Nazareti.Mungu aliumba watu wengi sema wayahudi kwa ubinafsi wakatunga stori za kujionyesha wao tu
Nani kakuambia Hawa alikuwa wa kwanza..Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Kawaida inatuambia tu ikawa usiku ikawa mchana.Biblia inataja wale wahusika wakuu tu.
Mkuu ila mbn ktk Yoshua 2 :3;4 ametajwa mwanamke ? au mie kdg nakoseaSoma BIblia mwanzo hadi mwisho, mara zote ukiona mwanamke ametajwa ujue kuna jambo maalumu alilifanya; nitafafanua.
Kwa ushahidi huo nina hakika Adamu na Hawa walizaa watoto wengi hasa wa kike zaidi ya Kaini, Habili na Seth.
- Kama umesoma historia ya Yakobo au Israel yule baba wa wana 12 ambao ndio makabila ya Israel inaonesha alizaa watoto 12 ambao ndio makabila yao but wakati anakwenda Misri imeandikwa kwamba idadi ya wana waliotoka katika viuno vya huyu mzee wa Imani ni 72, maanake ni wa kike pekee yake walikua 60, motto pekee wa kike anae tajwa katika listi ya wana wa Israel ni Dina peke yake and why, because alibakwa na wale wana wa Wahiti.
- Yesu alilisha zaidi ya watu 5000 but Biblia imesema wazi kabisa kwamba idadi hiyo ni wanaume tu, unadhani watoto na wanawake hawakuwepo kwenye mkutano wake ule!?
- Idadi ya waliotoka Misri to Kaanani ni kama watu laki sita but hiyo ni wanaume tu tena wenye uwezo wa kwenda vitani, what about wanawake na watoto bila kujali jinsia zao!?
Unadhani lingekua sio tukio la kufichwa hao wapelelezi na hiyo kazi yake ya ukahaba huyo dada angetajwa? Nisome tu vizuri mkuu, nilicho sema ni kwamba ukiona mwanamke ametajwa sehemu nyingi za Biblia basi kuna tukio maalumu amelifanya!Mkuu ila mbn ktk Yoshua 2 :3;4 ametajwa mwanamke ? au mie kdg nakosea View attachment 1021514
MTC | 101| [emoji769]
Hicho kijiji nani katengeneza kamawao hawakuoa? Hoja ya msingi ndani ya hii mada ni kuwa ndugu walikuwa wanazaaana wenyewe kwa wenyewe. Kwa maana ya kaini alimwoa dada yake na kuzaa naye. Abel tunaambiwa aliuawa na Kaini.Adam na eva waliishi mia zaidi ya mia tisa.
Ukituliza kichwa vizuri utajua kaini na abel walioa nani.
Ungeuliza kain na abel walioa wakiwa na umri gani ingekuwa hoja nzito.
What if walioa wakiwa na miaka mia saba.
Miaka mia saba sikijiji kabsaa.
Biblia haisomwi hivyo ukisoma yuda 1:14 inasema Henoko ni mtu wa 7 baada ya Adam..... Sasa jiulize kuna watu wangapi walizaliwa na Adam ila hawajahesabiwa kaja kuhesabiwa kizazi cha Seth pekee?? Yaani Adam-Seth-Enosh-Kenan-Mahaleel-Yared-Enoch.
Kazi kweli kweli; hebu tuwekee hicho kitabu kwanzaNani kakuambia Hawa alikuwa wa kwanza..
Kuna bidada aliitwa Lillith ndio alikuwa mke wa kwanza wa Adam biblia imemtaja mara moja tu sikubuki ni kitabu gani..
Na kuhusu wake za Kane na Abel ni kuwa biblia inatuficha mengi sana ila labda kulikuwa na binadamu wengine jiulize huyo lillith alikuwa na nani alivyosepa kutoka kwa Adam ila wanasema lillith ni mama wa majini alienda kugawa kitumbua kwa shetani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo tuseme Kaini na Abel walioa dada zao?Soma Biblia mwanzo hadi mwisho, mara zote ukiona mwanamke ametajwa ujue kuna jambo maalumu alilifanya; nitafafanua.
Kwa ushahidi huo nina hakika Adamu na Hawa walizaa watoto wengi hasa wa kike zaidi ya Kaini, Habili na Seth.
- Kama umesoma historia ya Yakobo au Israel yule baba wa wana 12 ambao ndio makabila ya Israel inaonesha alizaa watoto 12 ambao ndio makabila yao but wakati anakwenda Misri imeandikwa kwamba idadi ya wana waliotoka katika viuno vya huyu mzee wa Imani ni 72, maanake ni wa kike pekee yake walikua 60, motto pekee wa kike anae tajwa katika listi ya wana wa Israel ni Dina peke yake and why, because alibakwa na wale wana wa Wahiti.
- Yesu alilisha zaidi ya watu 5000 but Biblia imesema wazi kabisa kwamba idadi hiyo ni wanaume tu, unadhani watoto na wanawake hawakuwepo kwenye mkutano wake ule!?
- Idadi ya waliotoka Misri to Kaanani ni kama watu laki sita but hiyo ni wanaume tu tena wenye uwezo wa kwenda vitani, what about wanawake na watoto bila kujali jinsia zao!?
Abel wakati anauwawa biblia haikusema walikuwa na unri gani kwahiyo tu assume kwamba alikua na mke pia. Sasa kama walioa dada zao kwa nini leo iwe dhambi kwa mtu kumuoa dada yake?Hicho kijiji nani katengeneza kamawao hawakuoa? Hoja ya msingi ndani ya hii mada ni kuwa ndugu walikuwa wanazaaana wenyewe kwa wenyewe. Kwa maana ya kaini alimwoa dada yake na kuzaa naye. Abel tunaambiwa aliuawa na Kaini.
Abel wakati anauwawa biblia haikusema walikuwa na unri gani kwahiyo tu assume kwamba alikua na mke pia. Sasa kama walioa dada zao kwa nini leo iwe dhambi kwa mtu kumuoa dada yake?
Sent using Jamii Forums mobile app