Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Mimi nadhani biblia ni mawazo ya watu amabo walikuwa wanandika mambo yao tuSayansi inakataza kufanya inbreding. Siyo kwa binadamu tu, hata kwa wanyama ili kuepusha magonjwa ya kijenetiki kama albinism, ulemavu wa viungo, pumu, sukari za kurithi, mtindio wa ubungo, utahira n.k
Katika Biblia kadiri watu walivyokuwa wakiongezeka ndivyo na suala la katazo la ndugu wa karibu kuoana lilivyokuwa likishika kasi. Soma kitabu cha Walawi.
Sent using Jamii Forums mobile app