Sayansi inakataza kufanya inbreding. Siyo kwa binadamu tu, hata kwa wanyama ili kuepusha magonjwa ya kijenetiki kama albinism, ulemavu wa viungo, pumu, sukari za kurithi, mtindio wa ubungo, utahira n.k
Katika Biblia kadiri watu walivyokuwa wakiongezeka ndivyo na suala la katazo la ndugu wa karibu kuoana lilivyokuwa likishika kasi. Soma kitabu cha Walawi.