Mbunge Wa Arusha Mjini siku ya leo amewataka vijana wote wataka mabadiliko kuungane naye kwenda kushiriki mazishi mwanaharakati huyo wa mziki wa kizazi kipya, Lema amesema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na Local media za jijini Arusha. Vijana twendeni tukamzika mwanaharakati huyu aliyekuwa akipinga unyonyoji kwa wasanii wa Tanzania.
siasa za LEMA bwana!!!!!!!!naichukia CCM,lakin Chadema nao mh!!!!!!!!!!!!
subiri mungu ashushe malaika basi
ni maswali ya msingi ya kujiuliza!!Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
director wa filamu za kina Kanumba,habari yako bwana!!!!!!
Ukijua utamfufua ???? CRAP!! Nachukia sana watu wanaoshabikia kujua magonjwa ya wenzao waliokufa wakati haisaidii chochote. Taarifa ya kifo umeshapata, sasa ukijua kilichomuua itakusaidia nini kama si umbeya????Alikua ana umwa nini?
Mbunge Wa Arusha Mjini siku ya leo amewataka vijana wote wataka mabadiliko kuungane naye kwenda kushiriki mazishi mwanaharakati huyo wa mziki wa kizazi kipya, Lema amesema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na Local media za jijini Arusha. Vijana twendeni tukamzika mwanaharakati huyu aliyekuwa akipinga unyonyoji kwa wasanii wa Tanzania.
Jamani au kwa sababu Ebo alikuwa maarufu mbona Lema hakuja kifo cha mama yangu hapa hapa Arusha...... siasa bana zinabagua sijui kwa maslahi ya nani. kila jambo linabebwa kulingana na litakavyosaidia siasa.
unafikiri naweza kuwa director wa filamu za kizushi?
Msiba hauna chama, na kama alivyoandika Kibacha, walioalikwa ni vijana wote bila kujali vyama.Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
Polisi walivyo na akiri finyu utasikia tumepata taarifa za kiintelejinsia kutakuwa na vurugu msibani na kuwapiga mabomu ya machozi waombelezaji ngoja tusubiri.