TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

ni wapi sasa?mbona hamuelezi direction ya eneo la tukio?
 
Mbunge Wa Arusha Mjini siku ya leo amewataka vijana wote wataka mabadiliko kuungane naye kwenda kushiriki mazishi mwanaharakati huyo wa mziki wa kizazi kipya, Lema amesema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na Local media za jijini Arusha. Vijana twendeni tukamzika mwanaharakati huyu aliyekuwa akipinga unyonyoji kwa wasanii wa Tanzania.

siasa za LEMA bwana!!!!!!!!naichukia CCM,lakin Chadema nao mh!!!!!!!!!!!!
 
Sehemu ya Tukio ni Arusha maeneo ya masai camp nyumbani kwa baba yake. Hii ni kwa wale wote wanaopenda kushiriki.
 
Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
 
Jamani au kwa sababu Ebo alikuwa maarufu mbona Lema hakuja kifo cha mama yangu hapa hapa Arusha...... siasa bana zinabagua sijui kwa maslahi ya nani. kila jambo linabebwa kulingana na litakavyosaidia siasa.
 
ni maswali ya msingi ya kujiuliza!!
 
Mbunge Wa Arusha Mjini siku ya leo amewataka vijana wote wataka mabadiliko kuungane naye kwenda kushiriki mazishi mwanaharakati huyo wa mziki wa kizazi kipya, Lema amesema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na Local media za jijini Arusha. Vijana twendeni tukamzika mwanaharakati huyu aliyekuwa akipinga unyonyoji kwa wasanii wa Tanzania.

Polisi walivyo na akiri finyu utasikia tumepata taarifa za kiintelejinsia kutakuwa na vurugu msibani na kuwapiga mabomu ya machozi waombelezaji ngoja tusubiri.
 
nitakuwepo mazishi ya Mr Ebo lakini siendi kwa tiketi ya chama chochote nitakuwa mtu huru kwa maslahi ya watanzania wote. tutawajuza kitakachojiri huko. Marehemu siku hizi ni mateka wa kisiasa
 
Jamani au kwa sababu Ebo alikuwa maarufu mbona Lema hakuja kifo cha mama yangu hapa hapa Arusha...... siasa bana zinabagua sijui kwa maslahi ya nani. kila jambo linabebwa kulingana na litakavyosaidia siasa.

Umaarufu wa mama yako ulikuwaje?
 
Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
Msiba hauna chama, na kama alivyoandika Kibacha, walioalikwa ni vijana wote bila kujali vyama.
 
Polisi walivyo na akiri finyu utasikia tumepata taarifa za kiintelejinsia kutakuwa na vurugu msibani na kuwapiga mabomu ya machozi waombelezaji ngoja tusubiri.

Julieth siamini kama unaweza kuandika kitu kama hiki,akiri,haifanani na jina lako
 
Back
Top Bottom